Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,632
- 7,178
Nipo zangu home nasukuma kete zangu kichwani.
Jinsi ya kupata Hela nyingi nijenge mijumba ninunue magari Mazuri nile bebez za kwenda.
Najisemea hela nyingi zina gharama kubwa na kutokuwa na Amani ya kutosha kama nilivyo Sasa.
Mali nyingi zina gharama masta
Achana na matamaa haya ya magari Mazuri.
Ridhika na hiyo Toyota Passo yako kwa Sasa bila kuwaza kuna watu wanakutilia.
Acha kuingilia mfumo
Achana na mambo ya watu.
Napata stimu ya kulalia masta.