Mwamuzi wa kati Hance Mabena na mwamuzi Msaidizi Frank Komba wameondolewa kwenye orodha ya waamuzi kwa mizunguko mitano ya NBC PL 🇹🇿 kwa kuonyesha mapungufu ya kiuchezeshaji na kushindwa...
Tujiepushe na tamaa ya mali au kupenda fedha
Kwa namna ya kawaida fedha haina ubaya wowote, ni nyezo ambayo Mungu aliiruhusu iwepo na itumiwe ili kuendesha kushughuli zote za kijamii:
Mhubiri...
Tanesco imetolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na wadau hapa JamiiForums, baadhi ya sehemu maboresho yameanza.
Pia soma
~ KERO - Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa...
Ujue ukweli na uwongo juu ya uamuzi wa Bunge la Ulaya kwa Tanzania. Vyombo ya habari uchwara na media za akina Maria, wanasambaza uwongo kuzua taharuki na kueneza chuki. Hii isambae ndugu zangu...
Kuna watu baadhi
ukimwambia SHIKAMOO anafurahi wengine wanakasilika
WANATAKA umwambie AMANI YA BWANA IWE JUU YAKO wengine wanataka wasalimiwe kwa kuambiwa ASSALAAM ALAYKUM? je? wengine watasema...
Afrika ni seme akili zetu zinatembea pole pole mda fulani.Hata kuwaamsha vipi kuwa kuna hatari wao bado wame lala.
Mfano hapo south africa kwa kiwango cha uhamiaji ule hawa kuona tatizo siku zote...
Muharibufu wa nchi duniani wa kwanza ni serikali kisha wengine tunafata.
Kwa mwendelezo huu ambao unaendelea kwa matendo na vyombo vya ulinzi vikakanusha.
Hivi mnajua matokeo yake au mnataka...
Kama kichwa kinavyoeleza dunia nzima inapaswa kushangilia ushindi wa vita kwa Iran.
Masharti yaliyowekwa na Iran US ameyakubali hii inaonesha mshindi ni Iran.
Mashati ya Marekani yote...
Halotel wanashida gani nimekuwa nikituma meseji masaa manne sasa meseji zinaandika not sent na kwa ninao zungumza nao zinakuja zikijurudia sms moja mara mbili had sita, mtando piah umekuw...
Bendera ya maombolezo ya Imam Hussain (AS) kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, uonevu na ukandamizaji...
Kanuni nyingine ya uchumi ni kwamba, hakikisha baada ya kujiridhisha chanzo kimoja cha uchumi Kimesimama, hakikisha anzisha kingine hata kama kitakua kidogo ni afadhali uwe na chanzo kingine cha...
Mwakilishi wa Amani, Masoud Amour Masoud (CCM) akielezea masuala ya ajira na fursa za Muungano kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 18, 2026.
"Si kwamba wazanzibari tunabaguliwa katika...
1. Hivi vyuo vingine hivi ni shida tupu. Niliitwa kwenye interview Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira. Kwa bashasha na matumaini tele nikafunga safari ndefu ya kutoka nyumbani Bukoba mpaka Arusha...
Kamwe, usijaribu kubet ili kufidia hasara uliyopata kwenye beti ya kwanza
Moja ya makosa makubwa ambayo bettors wengi hufanya ni kujaribu kurudisha pesa waliopoteza kwa kubet tena haraka.
Hali...
Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinaendelea kufuatilia taarifa kutoka maeneo mbalimbali nchini kuhusu changamoto za upatikanaji wa huduma ya maji. Taarifa zinazoendelea kuripotiwa...
Msaada wakuu.
Nataka kufanya maombi ya cheti cha kuzaliwa ya mdogo wangu lakini leaving certificate ilipotea.
Lakini kuna mdau aliniambia kuna uwezekano wa kufanikiwa kupata hicho cheti cha...