Mawakili wa Tanzania wamekuwa hawana maana tena , wanahujumiana wao kwa wao, wamekuwa hawaheshimika hata na mamlaka nyingine na wakionekna bora hata wauza pipi kuliko mawakili!
SWALI NI KIPI...
Usingle nauona kama ifuatavyo;
Kwanza, ni uhalisia wa kisasa.
Pili, ni majaliwa. Ni mtu gani mwenye akili timamu aweza kuchagua hasara na kuchukia faida?
Tatu, tusiwahukumu. Asiye na dhambi, awe...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ametoa maelekezo hayo Juni 23, 2026 kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt...
Natokea Kijiji Cha Kikuba-katumba-Tukuyu-Rungwe.
Kero yangu ni kuwa barabara inayoenda kwa kiwanda Cha MANGI(MAPOMBE) kutoka kiwanda Cha chai..
Huyo MANGI anapitisha magari makubwa mfano Mende...
Good morning to all JF users all over the universe.
This morning as I was about to get ready for work. I found it useful to share with you this piece of information.
Most of us are so engrossed...
Teknolojia imekuja kwa kasi ila kasi ya afrika kwenye kuipokea inachangamoto kubwa.
Kwa magari ya umeme nimegundua mfumo wake wa betri umewekwa chini na si rafiki kwa nchi yetu.
kwa nini sio...
Afurahishwa kukuta vifaa vya saratani vya hadhi hiyo KCMC
Asema vitakuwa na maana huduma zake zikizingatia ubora
Ni siku chache baada ya kuzindua vingine Ocean Road DSM
Hatifungani ya Sikuk ya Benki ya KCB imeorodheshwa rasmi kwenye Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), ambapo imetajwa kuwa hatua muhimu ya kuongeza fursa za uwekezaji katika masoko ya mitaji na...
1/ Nimeusikia ujumbe wa Meya wa Manispaa ya Kinondoni unaowataka wananchi kupaka rangi nyumba zao ili kuboresha mandhari ya mji.
Lengo la kuwa na mazingira yanayovutia ni zuri na linaweza...
Tokea kushika kijiti cha nchi na mpaka kuleta mauwaji October 29 2025.
Ni ngumu muhalifu kuwanyooshea vidole wahalifu wenzake.
Kwa mambo yanayoendelea haki jaribu kujifanya ana mtumbua basi...
Mimi ni mkazi wa Mbagala na nafanya shughuli zangu katika Soko la Samaki Ferry. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia usafiri wa Mwendokasi kwenda na kurejea nyumbani. Kituo ninachoshukia ninapoenda...
unaamka asubuhi, unatumia pesa, muda na nguvu kwenda sehemu fulani kusikiliza mtu akikuambia mambo ambayo tayari unajua.Unaenda kanisani, mchungaji anasema tuwe waaminifu, tusameheane, tusiibe...
Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local? Tunaomba mamlaka ziingilie kati sisi wamiliki wa malori ya local tunapitia wakati mgumu wa biashara kwani gari za transit zimekuwa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeshiriki katika Mkutano wa 3 wa Kimataifa wa Kimkakati wa Kikanda wa PEN-PLUS unaolenga kujadili na kuimarisha mikakati ya kukabiliana na...
Katika video hii fupi, Yesu anatoa ushauri kwa team kataa ndoa kwa kuwaambia, "Kataeni dhambi, si lazima mkatae ndoa"
Angalizo: Sura zinazoonekana katika video ni matokeo ya Sanaa na siyo...
"Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania...
Uongozi Alsaedy High Class tatueni kero za abiria wenu, mtapoteza wateja.
Mimi ni abiria ambaye napenda kutumia usafiri wa bus la Alsaedy high class kwa safari zangu za Dar-Iringa, Iringa-Dar...
Barabara ya Mkuyuni, iliyofunguliwa mapema mwaka huu, inaonekana kujengwa chini ya kiwango kinachotarajiwa.
Ikumbukwe kwamba mwezi Aprili kulikuwa na mafuriko makubwa yaliyosababisha hasara za...