Wakili wa kujitegemea, Hamisi Mkindi akizungumza kupitia Wakili TV ya chama cha Mawakili TLS, amesema kwa mujibu wa Katiba Ibara ya 8, inara ndogo ya kwanza (c) inasema serikali itawajibika kwa...
Nsunu kanyoko wena njaa,kwa tulioishi kidogo south africa,maana yake ni,""Hatutajali chochote,au liwalo na liwe,kwa lugha za kuko kwao,
Kama kuna watanzania tafadhalini rudini tu hawa jamaa hawana...
WANAWAKE WA IRAN: TUNATESEKA NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Ripoti za hivi karibuni kuelekea mwaka huu wa 2026 zinathibitisha kuwa kilio cha wanawake wa Iran kuhusu unyanyasaji wa kingono, ikiwemo...
Serikali hao wanaopiga promo ujenzi wa kiwanja cha ndege wanatafuta mianyaa ya kuiba fedha za umma tu
Sasa unajengaje kiwanda cha ndege maeneo hayo miundombinu kama barabara ni mbovu kipindukia za...
Huyu mtumishi Suzan John Pombe Magufuli ni nani huko Dar es Salaam
Ni mke mdogo wa hayati magufuli?
Ni mtoto wa hayati?
Ni dada,mdogo wake magufuli ?
Ndio yule aliyehongwa Nyumba ya serikali...
Kijana , umri miaka 30 , alifiwa na mke wake ambaye walikuwa na mtoto mmoja tu wa kike umri wa miaka 2.
Mwana-uume huyo alikuwa akiishi nyumba moja na mama mkwe wake pamoja wamashemeji zake...
Zamani nilikuwa na aibu sana kukopa hela ukweni,
Sasa siku moja nikaingia loss kazini nikaambiwa nilipe ndani ya masaa 24,
Uko mama mkwe alikuwa kastaafu, amepewa pension 50+ millions,
Wkati mi...
prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili...
Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia...
Mvua zilizopitiliza, Radi kali, earthquakes za kutosha na ni kubwa sana, kama haitoshi, wataalam wanasema El nino inakuja ambayo ni kubwa sana na haijawahi tokea tangu miaka ya 18s. Nadhan kuna...
Wakuu, huenda maonyesho ya saba saba ambayo hufanyika kila mwaka yakadoda. Hofu ya maandamano inaweza kuchangia raia wengi kujifungia ndani, wale pia wanaotoka mikoani na nje ya nchi kubakia...
Kampuni ya Simu ya YAS. Inatuhumiwa kwa kuibiwa wananchi Bando. GB 10 zinaisha ndani ya Masaa mawili.
Tuungane kupaza sauti. Tunataka turudishiwe Vifurushi vyetu. Wizi hadi lini?
Katika...
Wakazi wa Manispaa ya Kinondoni wamepewa siku 30 kupaka rangi upya nyumba zao na kufunga taa za nje, vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria, amesema Meya wa Manispaa hiyo, Songoro Mnyonge...