Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,059
- 1,938
Zamani nilikuwa na aibu sana kukopa hela ukweni,
Sasa siku moja nikaingia loss kazini nikaambiwa nilipe ndani ya masaa 24,
Uko mama mkwe alikuwa kastaafu, amepewa pension 50+ millions,
Wkati mi natakiwa nilipe 880,000 aisee ilibidi nimtume wife akope hahahahahaha na hakuchelewa, nami nilikuwa namuhusisha mke wangu kwamba chini juu lazima hela ilipwe nikailipa kabla ya muda nilomwambia,
Sasa wife saa nyingine tulikuwa tukipata matatizo ananiambia kwamba nakukopea kwa mama ila nakopa kwa jina langu ila iwahi, kumbe hela anayo kaficha chini ya mto ananipa hiyo hiyo anadanganya katoa kwa niwe irudi mapema,
Nawashauri kopeni kwa wakwe msiogope
Wana aibu kutunyima haha