Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni mmoja tu ambaye alifanya kuepuka,mwenyezi mungu muepushw na adhabu. Ila hawa waliopitia hii wizara asilimia kubwa wanajikuta kuzalilika sijui wajifunzagi. Katambi hiyo wizara usipokuwa na...
3 Reactions
4 Replies
130 Views
Juzi juma tano Kuna mama Mmoja namfaham ni mfanya biashara wa muda sana japo siku wahi Fanya nae biashara, nikataka aniuzie mtambo Mmoja, nilimuhoji akadai ni mzima na utafanya hitajo langu bila...
5 Reactions
25 Replies
282 Views
Akizungumza mbele ya Tume ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ulaya Juni 22, 2026, Agnes Polepole Lerdorf, ametoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu kutoweka kwa kaka yake...
14 Reactions
66 Replies
1K Views
Leo ahsubuhi, nimepata wasaa wa kutafakari muktadha wa maisha yangu, Nilipo toka, nilipo, na ninako tamani kuelekea. Nimesikitika sana kuona equations bado ngumu sana si X si Y zote bado...
5 Reactions
6 Replies
823 Views
Salamu wana bodi. Kuna haja ya ustawi wa jamii kuongeza mikono yake kuwafikia watoto hasa walio na umri wa chini ya miaka 5, wanao ishi katika mazingira magumu. Kuna wakati, Dunia inazunguka na...
1 Reactions
2 Replies
474 Views
Watanzania tafuteni hela mana hakuna kitu kizuri kama kuwa na hela. Ndani ya wiki mbili nimefanikiwa kukutana na watu wazito sana kwenye biashara na uwekezaji Abdulmajid Nsekela, CEO of CRDB...
5 Reactions
21 Replies
467 Views
Niliona ninaingia kwenye jengo likiwa na watu wengi, ni kama ukumbi watu walikua wakisubili au wametoka kupata burudani. Nikiwa naingia kupitia moja ya milango tukiwa watu kadhaa mimi nilipita...
2 Reactions
7 Replies
680 Views
Wajumbe, Poleni na Yanayo Endelea katika nchi ya kusadikika. Hivi karibuni nimepata wasaa wakutafakari kidogo kuhusu maisha, ulimwengu na Kifo. Nikafikia Conclussion kua dhana ya kusema tuishi...
2 Reactions
16 Replies
507 Views
Habari Wakuu. Nkiendelea kuipokea Weekend ya Mwisho kwa Mwezi huu wa 01.26, Nikapata wasaa kupita na files zangu, mpaka kulikuta file la madeni yangu ya HESLB, na kugundua wananidai 20M kama...
5 Reactions
18 Replies
420 Views
Chewing gums na bubble gums zinatengenezwa kwa plastic. Kile kinachobaki baada ya utamu wa banzoka kuisha kinaitwa gum base. Sasa kile kinatokana na plastic na mpira(rubber) za viwandani. Plastic...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Nilishangazwa sana na jinsi mfumo wa USA unavyofanya kazi kwa mfano raisi D.Trump alisaini executive order, kwamba kesho tarehe xx/xx/xxxx raia wote wa nchi xyz hawataruhusiwa kuingia USA...
5 Reactions
18 Replies
467 Views
Hapana lazma upate vidonda vya tumbo siku Wanawake watatumia mgodi waliopewa bure na Mungu Wale wanaume wasiojua kukaza ndo tunawapoteza kabsa kundini, wanahamia upande wa umamani Wale wabishi...
10 Reactions
36 Replies
330 Views
Wakuu habari Zenu Dah wimbi kubwa la vijana tumekuwa tunapenda matokeo ya haraka sanaaa yaan boom baah 💥 Manoti hayooo Hii kitu inapelekea baadhi ya vijana 😂 kutumia fursa hii ya vijana...
4 Reactions
13 Replies
315 Views
Bwawa la Mwalimu Nyerere likikamilika umeme utashuka bei Gesi ya Mtwara itasambazwa mikoani kila nyumba. Taasisi za umma mwisho 2025 kutumia kuni Kwenye msafara wangu mawaziri watapanda basi la...
1 Reactions
2 Replies
255 Views
Je ni watu wa IT, Credit, content creators, human resource, corporate, risk, au ni kitengo gani wanazengo chenye maokoto mengi?? Benki gani bongo zina maslahi mazuri kwa wafanyakaz wake?
4 Reactions
24 Replies
608 Views
Wakuu anayehitaji leseni ya uchimbaji madini aje tupige kazi atakuwa ananipa 30% ya kitakachopatikana
0 Reactions
5 Replies
132 Views
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Mwilabuzu Ludigija amewataka Wananchi kushirikiana na Serikali kwenye Mpango wa kuzuia na kupambana na Dawa za kulevya Nchini kwani jukumu hilo sio la Serikali pekee...
0 Reactions
3 Replies
221 Views
Binafsi memba ambao mada nyingi nakuta wanachangia tangu sijajiunga 1 Seran 2 MIN-me 3 @Matrix3 taja wengine
1 Reactions
3 Replies
81 Views
Baada ya Mfanyabiashara Maarufu 'Niffer' kuchapisha video mtandaoni kuhusu sakata la unyonyaji wa vifurushi vya internet bundle akilalamika kununua takribani GB 50 na kuisha ndani ya muda mfupi...
3 Reactions
2 Replies
194 Views
Ninaandika hii post kwa masikitiko na hasira baada ya kusoma mtandaoni post za mwandishi maarufu kwa jina la Zungu kutokea mkoani Arusha. Kwenye machapisho yake kaonekana kukerwa na kumshambulia...
1 Reactions
12 Replies
218 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…