Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, huu utamaduni wa watu kupakwa majivu baada ya kutahiriwa umenifanya nitupwe ramande baada ya kumnasa vibao vya nguvu mtahiriwa nikidhani ni mtu aliyekuwa anajifanya mchawi na kwamba alikuwa...
14 Reactions
49 Replies
595 Views
Mimi changamoto yangu ni utaratibu huu mpya wa RITA wa kuhitaji uthibitishaji (verification) wa cheti cha kuzaliwa kila mara unapohitaji huduma katika taasisi za umma. Mfano, unapohitaji huduma...
3 Reactions
1 Replies
217 Views
Majina ya kiukoo ya Kichagga pia huashiria wanatoka sehemu gani ya Uchaga, japo si lazima kuwa hivyo: kwa mfano, familia maarufu za Kichagga nchini Tanzania ni kama ukoo wa akina Mushi, Mmasy...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Anonymous
Habari, Naomba kufichua uovu kuhusu Bar inayoitwa G Seven iliyopo mkoani mwanza sehemu inaitwa Darajani Kata ya mkolani, Bar hiyo imekuwa ikipiga muziki usiku kucha Kwa sauti ya juu. Jambo hili...
2 Reactions
1 Replies
101 Views
Anonymous
Wilaya ya Manyoni mkoani Singida inakabiliwa na tishio kubwa la kiusalama na kiuchumi kufuatia kushamiri kwa mtandao hatari wa wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya madereva wa magari makubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Anonymous (e614)
Kumekuwa na tabia ya madereva wa daladala kupaki magari na kupakia abiria nje ya vituo hususani kituo kidogo cha mabasi Keko Bora (maarufu tameco), Maduka Mawili na Serengeti kwa daladala...
0 Reactions
1 Replies
164 Views
Achana hayo mastudio wanayo yapaka paka rangi kuwanogeshea Achana na hao watangazaji wanaogambaniwa kila baada ya miezi 6 unamkuta ameenda pengine The chanzo ndio iliobaki kuuliza maswali...
3 Reactions
9 Replies
145 Views
Hapo zamani za kale kulikuwa na Kijiji kimoja kati kati ya msitu, Kijiji kilibarikiwa kuwa na kuku wengi sana wa kienyeji kuku watamu sanaaaa. Basi sifa za Kijiji kile zikaenea vijiji vya mbali...
2 Reactions
1 Replies
118 Views
Kwa mujibu wa makadirio ya kimataifa ya hivi karibuni hizi ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV South Africa – Takribani milioni 8.3 India – Takribani milioni...
7 Reactions
9 Replies
301 Views
Mimi sio mwandishi mzuri. Lakini nitaeleweka Kwa hiki kisa changu Cha kweli. Nilimaliza masomo yangu ya degree udsm mwaka 2011 nakuajiriwa mwaka 2012. Huko shinganya vijijini kama Mwalimu. Hii...
72 Reactions
93 Replies
7K Views
Siku zote mtu ambae ni mnafiki unatakiwa uishi nae kinafiki mana kuna watu wanafik wanaojifanya wema kumbe wabaya anajifanya ni rafiki yako kumbe anakudanganya anaweza kujifanya anakuuliza mipango...
12 Reactions
75 Replies
736 Views
UELEKEO NI TANZANIA, VIVA TANZANIA Serikali ya Tanzania imezindua kampeni kubwa ya kimataifa ya "Destination Tanzania" katika miji inayohodhi Kombe la Dunia, ikiwemo Atlanta, Toronto, na Mexico...
0 Reactions
3 Replies
92 Views
Kuna biashara ambazo zinakupa hela kidogo kidogo kila siku, lakini zipo biashara ambazo zinakaa kimya kwa muda mrefu halafu siku moja zinakushangaza kwa hela nyingi kwa mkupuo. Miongoni mwa...
6 Reactions
6 Replies
216 Views
Mwanzo nilizani ni ajari ya air balloon kule Brazil, lakini viashiria pale chini viliwakilisha harakati za sokoni au mahali penye maonyesho ya au biashara isiyofanyika hapo mara kwa mara...
3 Reactions
2 Replies
122 Views
Kwa mujibu wa rekodi za kihistoria, yalifanyika maandamano siku ya Jumamosi, 22 Oktoba 1966. Hapa chini kuna mfuatano wa matukio kwa tarehe: 4 Oktoba 1966: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
3 Reactions
24 Replies
523 Views
Kuna mahala inafika unaona kabisa AI inachukiza sana maana kwa sasa ni ngumu kujua ipi video halisi ipi video ya kutengeneza . Kwa sasa kila nikiona video hata iwe na uzito kiasi gani nashindwa...
3 Reactions
6 Replies
188 Views
Tanzania kuna viongozi wengi lakini wapo baadhi nilikua nawakubali japo pengine sio wasafi sana Ila nilikua nahisi wana maarifa angalau hawakua vituko. Kasimu Majaliwa Tulia akson Geogre...
4 Reactions
20 Replies
264 Views
Angalizo...! Hii siyo Id mpya kama wachache wasiofikri vyema, ambao yeyote kwao anayeongelea amani na utulivu kwenye jamii wanamgeuza kuwa adui. Niko hapa tangu 2018. Binafsi nimechagua kuwa...
0 Reactions
2 Replies
97 Views
Kwa wafuatiliaji wa mitandao hasa kule X na habari za Palestine na Israel, binafsi nasoma kidogo kwa wabongo alafu naenda kwa walio karibu na eneo husika. Ni hivi; kuna jamaa naona ni Mmarekani...
1 Reactions
2 Replies
659 Views
Habari za asubuhi wadau Nisaidieni mwenye kukifahamu vizuri naombeni MSAADA maana naona matangazo mengi sana huko kwenye mitandao mingine
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…