Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Folks what are the pros and cons of CNG cars am thinking of doing transition of one of my car I need advice before i make a move
3 Reactions
22 Replies
446 Views
Habari wanajf!!! Nimeamua kuanzisha group ili ili tuweze kufanya mazoezi ya kutembea pamoja kila siku ya weekend (Saturday na Sunday).
1 Reactions
13 Replies
182 Views
Ukikuta uzi kuna mada nzuri inajadiliwa utakuta kijana wa ajira mpya anajipa mamlaka ya kutetea hata kama anatetea upumbavu Hii mindset kawaambia nani? Nani kasema lazma mtetee ujinga? Kwani...
1 Reactions
4 Replies
121 Views
Risasi zinarindima Mbezi beach muda huu karibu na kwa Dr. Hiza. Yaani mitutu inalia hadi raha. Utadhani 29.10.2025. Je, ni Polisi au Majambazi.. Yaani jamaa wanapiga mtutu hata hawaogopi..
3 Reactions
19 Replies
625 Views
Umeshawahi kufanya jambo lolote ambalo hujatarajia kulifanya ili usidhalilike? Niliwahi kununulia wadada flan chakula nikawanunulia nikabaki sina hata hamsini kwa sababu ya masifa je?
4 Reactions
4 Replies
149 Views
Maisha ya mkoani shikamooo Hakuna connection Hakuna dili za kutosha Kazi ngumu malipo hafifu Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta Nipe connection ushauri nk Karibu
3 Reactions
42 Replies
541 Views
Kwa miaka mingi, nchi za Ulaya, hususan Uingereza (UK), zimekuwa kivutio kikubwa kwa watu wanaotafuta maisha bora. Wengi huamini kuwa huko kuna ajira nyingi, mishahara mikubwa, huduma bora za afya...
1 Reactions
3 Replies
194 Views
Kumekuwa na ujenzi holela wa nyumba za ibada hasa Makanisa katikati ya makazi na kuendesha ibada zao kwa sauti kubwa Siku hizi mtu akiwa na hata kiwanja chake kilichopimwa kwa ajili ya makazi...
1 Reactions
13 Replies
279 Views
Kitendo cha kuweka wadada walioumbika na kuwavalisha vimini vyenye mpasuo ili kuvutia wateja ni ukahaba. Kuna vile vidada vinavyouza vinywaji na bites kila mara vinainama inama, paja linakaa...
11 Reactions
41 Replies
796 Views
Habari za weekend ndugu zangu Anayesumbuliwa na acid reflux atafute hizo mbegu kiswahil zinaitwa habat soda English zinaitwa black seeds....nimbegu ndogo ndogo nyeusi tii kama mkaa ukiziona haraka...
16 Reactions
38 Replies
770 Views
Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi. Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Mpaka kufika saa 8 wengi simu zenu zitakuwa zimekosa chaji. Naomba kujiweka sawa nawapa taarifa ila wanataka kufanya kitu kibaya watawala na washapanga.
4 Reactions
3 Replies
187 Views
Siri ya Kuepuka Huzuni na Unyonge Kwenye Maisha: Punguza Matarajio Moja ya vyanzo vikubwa vya msongo wa mawazo na unyonge kwenye maisha ni tabia ya kutarajia watu wafikirie na kutenda kama...
13 Reactions
25 Replies
328 Views
Kwa nilipo na wanaotumwa hii ni makusudi. Kama mpo JF wengine mtaumbuka.
2 Reactions
9 Replies
315 Views
Habari za Jumapili. Kwa uelewa wangu huu ninaamini kabisa Wazungu, mabeberu kamwe hawataruhusu nchi walizozitawala ikiwemo Tanzania ifanye Jambo ambalo litaiinua nchi, kuiendeleza, ikiwezekana...
5 Reactions
22 Replies
349 Views
Tupeane uzoefu kwa wale tuliowah kukaa kambi BINAFSi niliwahi kukaa kambi flani ya kujenga ila nilishindwa mwanangu ile kambi wanakula vyakula vya ajabu ugali unaliwa muda ule ule ukitoka jikoni...
1 Reactions
7 Replies
148 Views
Hakuna njia ya uhakika ya kurejesha ndoto ambayo tayari umeisahau kabisa. Ndoto nyingi hupotea haraka sana baada ya kuamka kwa sababu ubongo hauzihifadhi kwenye kumbukumbu za muda mrefu kwa nguvu...
3 Reactions
18 Replies
238 Views
Mifaano batiri, uwezi okota pesa Kwa miaka yetu hii, nasababu sa7 za kuerezea, mwaka 1760 BARTER: ilikuwa Biashara ya mabadilishano example unang'ombe lakini unahitaji mahindi mnakubaliana...
3 Reactions
28 Replies
553 Views
1.Viongozi wote Raisi Mpaka Mawaziri wapewe Action plan (Mpango kazi wenye time frame ) mfano wewe unakua Waziri wa habari utafanya 1,2,3 na kufikia may 2027 uwe umekamilisha 1 na 2 ukishindwa...
1 Reactions
1 Replies
85 Views
Nafanya hii kazi kwa kujitoleaa kabisa!!Maana hela za kuipa jamii sina basi nitawapa maarifa! Nimeona nianze kufanya Philanthropy kama sehemu ya kuisaidia jamiii kimaarifa na kufungua Bongo!!…...
5 Reactions
41 Replies
612 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…