Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana. Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa...
55 Reactions
339 Replies
16K Views
Hii tabia inakera sana. Unakuta mdada yupo baa anakunywa alafu akitaka kwenda chooni kukojoa anachukua tishu mbele za watu. Hii inadhihirisha wazi anaenda kufuta papuchi yake na tishu. Alafu...
5 Reactions
29 Replies
456 Views
Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia katika kipindi ambacho watu maarufu wana ushawishi mkubwa kuliko taasisi zilizokuwa zinajenga maadili hapo awali, kama familia, kanisa, shule na jamii...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Kama mpo humu basi hii inawahusu kwanza customer care sijui mnaweka wanawake single maza maana wana kauli mbaya pia wa kiume nao hovyo kabisa sijui mme weka wale wenye misongo ya mawazo Kitu...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Habari za jioni wadau, Leo nimekuja na kaswali kadogo tu la udadisi, lakini nina uhakika majibu yetu yatatufumbua macho wengi kuhusu tabia zetu za matumizi ya mtandao hapa Tanzania. Sote tunajua...
2 Reactions
9 Replies
170 Views
Kuna mtazamo umejengeka kwa muda mrefu kwamba mtu akiishi Dar es Salaam ndiye amefanikiwa zaidi au ndiye mwenye akili ya kutafuta maisha kuliko wengine. Mtazamo huu si sahihi na una madhara...
5 Reactions
8 Replies
190 Views
Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu kampuni za mikopo ya mtandaoni. Serikali ilitangaza hatua za kudhibiti na kuchukua hatua dhidi ya kampuni zilizokuwa zikikiuka sheria na haki za wakopaji...
0 Reactions
1 Replies
177 Views
Usisubiri mpaka ufikishe miaka 30 ndio uanze kufikiria kujitegemea. Kama hujaajiriwa serikalini au kwenye kampuni yenye nafasi nzuri ya ukuaji, jitahidi kujenga kitu chako mapema. Iwe ni ofisi...
6 Reactions
10 Replies
252 Views
Jana nilikua naangalia filamu moja ya Kikorea inaitwa A TAXI DRIVER (2017). Niliamua kuitizama bila kujua plot yake, nikawa najichekea zangu tu maana ilianza kama light comedy. Mara... taratibu...
6 Reactions
9 Replies
233 Views
Polisi na jeshi kuonekana mtaani na vituoni baadhi ya maeneo kuna gari za maji washawasha kuna nini? Kama kuna anayejua hili jambo nielewesheni maana hatujazoea vita au virugu.
2 Reactions
14 Replies
324 Views
Wanawake tunapovaa Suruali, hapa mbele hujichora alama ya “V”. Je, wanaume huwaza kitu gani? Iwapo sisi tukiona zipu zao za suruali ni ndefu tunapata mawazo na msisimko je wao wakiona mchoro...
2 Reactions
13 Replies
301 Views
Zamaradi.. Katika chapisho lake leo huko Instagram.. Kaongelea namna safari ya mwanaume inakuwa ngumu. Kaelezea how society na mifumo yake haimfavor mwanaume.. Kaelezea how majeraha yetu...
28 Reactions
298 Replies
3K Views
Anonymous
Wakazi wa Kijiji cha Manga, Mkoa wa Singida, tunaomba msaada wenu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji, tumefikisha takribani miezi miwili bila kupata huduma ya maji. Hata...
0 Reactions
4 Replies
129 Views
Anaandika Askofu Mwamakula ______________________ JE, UNAJUA SABABU ZA SHEIKH MWAIPOPO KUTAKA 'KUWATAHIRI WATU BILA GANZI'? Wiki hii kaibuka Sheikh Mwaipopo, kaita press na kutamka maneno...
5 Reactions
5 Replies
528 Views
Leo nimewawaza sana wale watumishi wanaopitia madhira na manyanyaso, mateso na wakati mwingine kutengwa kazini kwao. Katika semina zangu za Uongozi wa Kimkakati, Itifaki, Maadili ya Uongozi na...
1 Reactions
2 Replies
171 Views
Anonymous
Ni wiki sasa inakwenda, wakazi wa kata ya Sombetini hatuna huduma ya maji safi. Hakuna taarifa yoyote toka kwa mamlaka husika ya maji safi na maji taka ya jiji la Arusha (AUWSA) huku wananchi...
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Siku kadhaa zilizopita (Juni 23, 2026) niliandika kuhusu mazingira ya katika stendi ya mabasi madogo ya Makoroboi jijini Mwanza kuwa na uchafu mwingi. Nilieleza uchafu huo umekuwa ukitoa harufu...
0 Reactions
0 Replies
71 Views
Nimekuwa nikisikiliza wabunge wakiomba mikoa yao kuunganishwa na umeme wa Gridi ya Taifa Je hiki kitu kina manufaa gan kwa nchi? Maana kwa mtazamo wangu naona kama nchi nzima kuwa na mfumo...
1 Reactions
11 Replies
339 Views
Diss
5 Reactions
10 Replies
160 Views
Kwa kuwa nimeamua kuwa balozi mtiifu wa Amani katika nchi yangu ninayoipenda,sitachoka kuwafunda wale wanafiki wachache wanaojifanya watanzania huku wakiishi ng'ambo bila kujua adha tunayoweza...
0 Reactions
3 Replies
99 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…