Nawasalimu wote. Habari ya wakati huu?!. Moja kwa moja kwenye mada.
Ujinga sio tusi, bali ni hali anayoweza kuwa nayo mtu yeyote, wakati wowote.
Ukiambiwa wewe ni mjinga usilaumu kua umetukanwa...
Moto umezuka na kuendelea kuteketeza nyumba kadhaa katika Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, na kusababisha taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo hilo
Tutakufahamisha zaidi kinachoendelea...
Kutoka kwenye Mkutano wa Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Julai 1, 2026 na wananchi wa Nyamongo Mkoani Mara. Moja ya mwananchi aliyejitambulisha kwa jina la Sibora Mwita Magige amemuomba...
Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana.
Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa.
Soma...
Kuna mambo mengine afrika kama kichekesho.
Leo kuna sifa na vyeo wanapewa ila wakitingishwa wanaanza kutoa milio.
Hivi mfano iran unaweza kufananisha nchi gani hapa afrika.
Wakazi wa NHC Shekilango, Ubungo, na maeneo mengine mengi tumekuwa tukikumbwa na tatizo kubwa la upatikanaji wa maji tangu mgao wa mwezi Desemba.
Kinachoshangaza ni kwamba zamani eneo la NHC...
Salam.
Wakuu nimejaribu tu kuwaza, ukifuatilia siasa za afrika, kuna wimbi kubwa la viongozi kubadili katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani.
Vipi kama huo upepo ukafika kwetu? Nini...
Shida kuelimisha mtu kama kobe kujiondoa kwenye gamba lake.
Dini zetu zimetumia nguvu nyingi kumwaga damu zaidi ya history za vita ya dunia zote.
Dini zimekuwa kujificha kwa watawala kuanzia...
Magufuli kweli ni nyoko.
Aliwaondoa kabisa kwenye ramani hawa jamaa. Jamaal na Dioniz Malinzi ambao ndio walikuwa wamiliki wa kampuni ya clearing and forward iitwayo Cargo star.
Walitamba enzi...
Wakuu,
Mwezi january ndo huo unapamba moto, baada ya mapambano makali ya mwaka jana na bata la desemba, sasa narudi ulimwengu wa vita ni vita Mura. Kifupi liwalo na liwe nikipata nipate, nikikosa...
Wakuu, habari. Mimi nimefuatilia kauli za huyu bwana kwenye majukwaa anayohutubia nimepata mashaka na afya yake ya akili.
Maana anaropoka vitu asivyo na ushahidi navyo na ambavyo haviwezekaniki...
Kelele za Oktoba, 2025 zimerudi tena za kuhubiri amani amani! Acha inyeshe tena tuone panapovuja
========
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimewataka Watanzania kutoshiriki maandamano...
Kaa wewe umeshajipata katika sekta yako mfundishe mtoto wako apaye skillz za kufanya illusion na mazingaumbwe.
Kisha anaanza kutembea shule baada ya shule baada ya shule. kiingilio 500, sekondari...
Anasa ni zimwi linalokunong'oneza kwa sauti ya upole kuwa "gusa tu kwa leo alafu basi"
Masikini kumbe unaisha. Mishe ya kukupa mtonyo kumbe ni kama maua.
Sio wanawake wenye MAKEBO makubwa, sio...
Nimekutana na jamaa kafanikiwa kimaisha na kaelimu.
Leo ndo nimeelewa watu.Mada ilikuwa hivi.
Kanikuta naangalia graph za forex kati ya USD vs GOLD.
Kaniuliza naona ushaanzaa utapeli.
mi...
Mtaalamu maarufu wa mustakabali wa teknolojia, Ray Kurzweil, ametabiri kuwa kufikia mwaka 2030, binadamu wataweza kuunganisha akili zao moja kwa moja na akili bandia (AI) kwa kutumia nanoboti...
Neno democracy kwa afrika naomba liondolewe litafutwe jina lengine mfumo wa utawala wenye jina lake.
Leo hii waziri Katambi na CCM wake hata katiba iliyopo ni shida kuitumia