Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilipokuwa mtoto, niliwatazama wahitimu kwa heshima kubwa. Kwangu, cheti cha chuo kikuu kilikuwa ushahidi wa juu kabisa wa akili, hekima, na maadili. Niliamini kwamba mtu yeyote aliyetumia miaka...
2 Reactions
3 Replies
136 Views
Ofisi ya Rais - Maendeleo ya Vijana imeandaa Shindano la Vijana Uchumi Challenge lenye kauli mbiu ‘Wana tunafikiri, Taifa linasonga’. Shindano hili linalenga kukuza Mawazo ya vijana, yenye...
4 Reactions
17 Replies
625 Views
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla amesema serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari imeanza ujenzi wa kipande cha barabara ya Luduare- Serengeti (Km88), akisema barabara hiyo...
1 Reactions
1 Replies
149 Views
Kitu cha Nje Kinawekajwaje Ndani? kwa Wanaume Wanaolilia Mapenzi. Wakuu leo nataka nm kuwaambia ukweli sababu mmezidi upumbavu na ulimbukeni usio na mipaka yaani nyie vijana wa sasa mmebaki...
2 Reactions
6 Replies
192 Views
Usemi ule maarufu wa Kiingereza unaosema "Fix your sleep before you fix your life" (Tengeneza usingizi wako kabla ya kutengeneza maisha yako) una uzito mkubwa sana wa kisaikolojia, kibiolojia, na...
2 Reactions
6 Replies
184 Views
Wadau, tutakumbuka kuwa wiki kadhaa zilizopita kampuni ya Mofat, inayotoa huduma ya usafiri wa Mwendokasi katika njia ya Mbagala, ilieleza mbele ya viongozi wa Serikali kuwa ina takribani mabasi...
9 Reactions
32 Replies
667 Views
Watumishi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wamepatiwa mafunzo kuhusu magonjwa sugu yasiyoambukiza mahala pa kazi pamoja na afya ya akili, leo tarehe 4 Julai, 2026 katika Ukumbi...
0 Reactions
2 Replies
95 Views
Habari za Jioni, Wengi wenu hampendi madalali, mnaona kama kutoa kodi ya mwezi ni issue, basi msijali, leo mmefikiwa. Hii app ni ya iOS nimeandika mwenyewe kama hobby, sina team yeyote hivyo...
1 Reactions
4 Replies
146 Views
Uzinifu ni ngono kabla ya ndoa na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya ngono na asiyekuwa mume au mke wako. Je, kwa nini uzinifu uongezeke siku hizi na zipi ni njia za kupunguza uzinifu duniani?
5 Reactions
151 Replies
2K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amesema kuwa katika kipindi cha takribani miaka 100 tangu Bunge lianze kufanya kazi, kuanzia enzi za ukoloni, hatua mbalimbali...
1 Reactions
15 Replies
263 Views
Wadau kila mtu ana siri za maisha yake. Mimi kifupi ni mtu mzima nina maisha nimeenda shule na nina njia zakujipatia kipato. Kifupi nina rafiki yangu daktari alinionesha kwa simu hii kamari ya...
15 Reactions
212 Replies
8K Views
Mtandao wa Airtel umekuwa wa shida sana leo yupo mwendo wa kobe yani upo chini sana Shida ni nini ? Na kuna mtu naye anapata changamoto hii?
2 Reactions
0 Replies
78 Views
Habari za muda wana JF, Katika harakati zangu za maisha nimejikuta tu nadondokea Njombe. Nina wiki mpaka sasa. Maisha yamenichapa balaa. Mfukoni nina kama 1.5M, nikawa nawaza biashara ya viazi...
5 Reactions
46 Replies
730 Views
Natarajia lile deni la taifa trilioni 114 litafika trilion 900 kama watafikisha 2030. Nguvu kubwa na pesa zinazowekwza kujionesha hawana tatizo na kulipa watu hata kuwapandia dau ili mradi...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Kuna namna uku chini ya jangwa la sahara hatupo sawa mbona wenzetu weupe wanatoboa?
1 Reactions
11 Replies
227 Views
Tasnia ya michezo ya bahati nasibu imezidi kuimarika Tanzania ikitajwa kushika number 6 barani africa. Pamoja na mafanikio yanayoweza kupatikana kwa uwekezaji na kodi , biashara hii inatakiwa...
1 Reactions
8 Replies
140 Views
Tundu Lissu ameamua kufuata ubunifu wa wanasiasa na viongozi kama Kwame Nkrumah, Nelson Mandela, Mahatma Gandhi, Muammar Gaddafi, Julius Malema, Thomas Sankara na wengine. Hao walibuni mitindo ya...
6 Reactions
38 Replies
784 Views
Hii nimeikuta mahali, baba anaishi maisha magumu ya kimaskini sana, lakini mtoto wake ni milionea! Baba anamwomba mtoto angalau amthamini tu kama baba, lakini mtoto anamtolea nje! Hampi hata...
4 Reactions
6 Replies
133 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…