Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salama Sheikh mwaipopo ni nani? Nani anamtuma kila siku anakuja front na watu waliovaa ninja anasema ana vikosi vya mbwa mwitu vya kuvamia na kuua Sasa kama ni strategy ya kuzuia maandamano ni...
4 Reactions
12 Replies
164 Views
Mwanza umelala mno Vibe na biashara, matajiri yote Sasa ni Geita Oyaa Geita ni balaa, Geita mjini, KATORO,Buseresere, Chato, Mganza, Runzewe, Nyangwale Kuna mzuka sio poa, watu wanapiga pesa na...
14 Reactions
69 Replies
1K Views
Wataalamu wa afya wanasema ili kupata utulivu na kuondokana na msongo wa mawazo, hakikisha unalala kwa masaa 7 hadi 8 na kuepuka kutumia simu kabla ya kulala. Unaweza kusikiliza nyimbo za...
9 Reactions
56 Replies
612 Views
Dar es Salaam, 1 Julai 2026 Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa tarehe 30 Juni 2026, imekabidhi Serikalini mchango wa TZS 61,053,535,363 ikiwa ni...
1 Reactions
1 Replies
89 Views
Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani. Endapo hilo litatokea, na...
1 Reactions
5 Replies
159 Views
Sms za amani zimeanza kuingia kwenye simu zetu bila wenyewe kupenda, kwanini wasitume sms kututaarifu kuwa mafuta yameshuka bei, huduma fulani zimekuwa bora, watuambie mafisadi wamekamatwa, rushwa...
1 Reactions
2 Replies
87 Views
Introduction Petrochemistry is an advanced area of petroleum chemistry focused on the production of petrochemicals chemical products derived from petroleum and natural gas. These petrochemicals...
3 Reactions
5 Replies
266 Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilituhakikishia kuwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa zimepunguza kwa kiasi kikubwa, au hata kutokomeza, utapeli wa mtandaoni. Hata hivyo, uzoefu wangu...
6 Reactions
13 Replies
413 Views
Wakuu, Naona baada nyuzi zangu kuwatandika makofi ya uso na kuwavua nguo mchana kweupe, wengi mmeingia PM mmejaza machoni mate mkilialia mkitaka suluhisho,Mnasema Ooh, usituchambe tu kila siku...
12 Reactions
34 Replies
655 Views
mashimo yatakuwa yametema
4 Reactions
11 Replies
309 Views
Hi serikali huwa inachezea sana wananchi kwenye suala la bei ya mafuta. Kwa mfano, siku zote huwa tuna akiba ya mafuta yaliyonunuliwa ya miezi mitatu. Vita ya Iran na USA ilipoanza, japo tulikuwa...
0 Reactions
1 Replies
163 Views
Kinachompa jeuri kuona wapo sawa .Ni hiki hapa .Ila cha kuchekesha mwenzake hana habari nacho kwa tanzania
0 Reactions
2 Replies
102 Views
Mimi ni kijana ambae misheni town yaani sijawahi kuchagua kazi au biashara pia nina bahati sana ya kupata kazi yoyote ninayo itaka hata kama kesho nikaenda tra lazima nipewe kazi Kutokana na...
0 Reactions
4 Replies
99 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limebaini uwepo wa ujumbe unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii (kama inavyoonekana kwenye picha) ukidai uwepo wa kikundi kinachokamata Bajaji kibabe kwa kigezo cha...
1 Reactions
6 Replies
277 Views
CHADEMA’s stability is threatened by explosive claims of financial irregularities involving Heche. Accused by Sugu and Lema of mishandling donor money, including TSh 70 million that never reached...
1 Reactions
13 Replies
187 Views
Uraibu Unemployment Kufirisika Msongo wa mawazo Gharama za maisha Magonjwa ya muda mrefu Mke mwenye majaribu Kutegemewa na nduguzo mapema Mtaji mdogo
4 Reactions
3 Replies
79 Views
Kama wewe ni mchimbaji mdogo una dhahabu unauza mimi natafuta dhahabu ya vipande (gold nuggets) za kununua. Hasa wale ambao wamepata dhahabu machimboni kwa njia zisizo rasmi na wanatafuta soko...
0 Reactions
2 Replies
113 Views
Ninekumbuka kauli hii kwa wanazuoni wakubwa. Ukiona mtu anakwambia we mchawi sana ina maana kuwa uchawi wake umeshindikana kwenye giza ,sasa kaamua kukueleza kuwa wazi wewe ni mchawi. Leo CCM...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Nilkuwa nafanya utafiti wa kitaaluma juu ya makabila ya mkoani wa Kigoma. Nilipowauliza wenyeji wangu Waha kuhusu kabila la Wamanyema kwanza waliniona kama zuzu. Wanadai hamna kabila lisilokuwa na...
5 Reactions
20 Replies
365 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…