Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, nimeona leo niteme nyongo ya mwisho kabisa ili kila mtu humu ndani aelewe kiwango cha chuki na kichefuchefu nilichonacho rohoni dhidi ya huyu kiumbe. Nataka niweke wazi mapema kuwa hata...
6 Reactions
44 Replies
810 Views
Timu zote ambazo zina wachezaji wengi wanaosali sana kabla ya kuingia viwanjani, kwenye mechi na baada ya mechi zimetolewa, imebaki Argentina na zile tu ambazo zina mchezaji mmoja au wawili...
1 Reactions
5 Replies
129 Views
  • Redirect
18 Reactions
– Replies
– Views
hii statement ina ukweli ndani yake mtu akipata pesa kunatabia ambazo zilikuwa zimejificha ataanza kuzionyesha waziwazi kuna tabia zako huzijui ngoja upate pesa zitajionyesha dhahiri,,
6 Reactions
28 Replies
371 Views
Dar balaah Miundombinu; kila uchwao barabara zinarekebishwa, miaka yote hakujawahi kuwa shwari ni urekebishaji tu barabara kwani uongozi wa nchi unashindwa kufanya uwekezaji wa kweli wa mara Moja...
1 Reactions
4 Replies
129 Views
- Mfanyabiashara aliyetoroka nchi, anayesifika kutapeli mabenki atajwa kuwa nyuma ya Heche, Mpina na wengine - Ni mmiliki wa kampuni ya Mafuta Steti Oil inayotuhumiwa kujihusisha na mambo mengi...
-1 Reactions
8 Replies
166 Views
Jana nimesali kwenye kituo cha maombezi cha Marian Faith Healing Centre maarufu kama "kwa Fr Nkwera" pale Riverside. Ni mwaka sasa umetimia toka atwaliwe na mola wetu. Nina maswali yafuatayo:-...
7 Reactions
29 Replies
778 Views
WAZIRI KOMBO ASHIRIKI KONGAMANO LA KISWAHILI NA MAADHIMISHO YA PILI YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI PARIS Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit...
1 Reactions
3 Replies
107 Views
Wanjamvi na geniuses wa HnM sakamu! Nimetafakari sana, nimewaza na kuwazua. nikahitimisha kuwa hakuna kisicho na dosari. Mhe. Ridhiwani Kikwete ni kiongozi bora, ni bora ndiyo, na siku hapo...
0 Reactions
4 Replies
111 Views
Mtu anayetungisha mimba wenye chupa maabara ana hatia mbele ya Mungu au la Kwanza ni muhimu kufahamu nini maana ya watoto wa kwenye chupa. Ikitokea mama anakuwa ana mayai lakini anapata shida...
1 Reactions
6 Replies
158 Views
Wakuu, Nauliza tu maana hili suala la kununua vitu gengeni kwa kweli vimezidi kuwa ghali Ni soko gani naweza kwenda vitu vikawa affordable?
4 Reactions
17 Replies
522 Views
Anonymous
Baadhi ya mikoa naona kama bado usimamizi upo chini kumekuwepo na baadhi ya Vyombo vya Habari vinavyoajiri watu wasio na sifa husika kwa kuwa tu wanajua watawalipa kiasi kidogo cha fedha. Wale...
1 Reactions
1 Replies
115 Views
Vina post kila ya dakika wanajifanya wapya ila jinsi anavyojibu comment ni kama anakujua vizuri humu ndani😁😁
7 Reactions
43 Replies
598 Views
Wananchi tunaoishi kando ya barabara kuu kuanzia Kibaha, Mlandizi hadi Morogoro, tumekuwa tukiendelea kuishi kwa hofu kuhusu makazi yetu, kwani mradi wa upanuzi wa barabara hiyo kuwa njia nne...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
  • Redirect
Katika Vijiji vya Kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula fedha za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita. Baadhi ya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo. Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mimi ni Mkazi wa Sinza-Bamaga lakini katika mambo yamekuwa yakitukera sisi wakazi ni suala la DAWASA kuachia maji saa saba usiku au saa nane muda mwingine saa tisa, mara nyingi...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…