Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko...
5 Reactions
11 Replies
277 Views
Habari naomba kujua Nimefungua akaunti CRDB mwaka Jana nilipokuwa TANZANIA Kwa likizo, Nilipewa Kadi ya hapo hapo Ya MasterCard, Dhumuni la kufungua account hii ni kuwa naweka hela Kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kikawaida unapooenda kuchukua mkopo kama una mkopo tayari(kutop up mkopo) deni halisi hujumlishwa na deni jipya na kukokotolewa upya, lakini hii benki ya NMB ni tofauti Wao wanachukua deni pamoja...
2 Reactions
61 Replies
37K Views
Habari za muda huu wadau, Uzi huu utakuwa kama kumbukumbu ya maisha yangu kwa niliyopitia nikiwa mtoto hadi nakuja kuwa mtu mzima sasa, nikiwa najitegemea na pia kutegemewa na wanaonizunguuka...
11 Reactions
96 Replies
2K Views
Ukianza kwenye music kuna chuki hatari huyu haimbi na yule, yaani miaka 30 ya bongoflava watu wengine muhimu hawapo? Wamebanwa? Au kuna chuki Siasa nako ndio hatari Ndugu ndio usiseme Nchi...
4 Reactions
3 Replies
117 Views
Kaa chini jipe muda kidogo na kutafakari je kusingekuwa na bangi na sigara maisha haya yangekuwaje? Haki ya nani ni jambo la kushukuru sana. Mbarikiwe wanangu! adriz de mbusii
6 Reactions
42 Replies
425 Views
Unakuta makao makuu ya kampuni yenyewe yapo Dar au kwenye majiji mingine, na ukifika huko unaona kabisa tofauti ya uendeshaji. Kila kitu kinafanyika kwa weledi, usimamizi ni wa kiwango cha juu, na...
2 Reactions
3 Replies
103 Views
Hii Dunia ukiwa haujui unachokitaka hata kwenye mahusiano utahamahama sana lazima uwe malaya , maana wanaume matajiri hawaishi yupo tu atakayemzidi uliyenaye , wanawake wazuri hawaishi yupo...
13 Reactions
38 Replies
491 Views
Baadhi ya "conspiracy theorists" wameanza kuhoji namna ambavyo matukio na mifumo ya mashindano ya Kombe la Dunia hujitokeza, na kufanya mashindano hayo yaonekane kana kwamba yameandaliwa...
4 Reactions
80 Replies
824 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa MiryMary Travel & Tour, Miriam Chikoti, amesema kampuni hiyo imefungua ofisi mpya zilizopo Mbezi Beach kwa Zena, katika jengo la J Four Plaza, kwa lengo la kuwasogezea...
1 Reactions
1 Replies
155 Views
Neno la Bwana katika Injili iliyoandikwa katika Mathayo 28: 19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; Je neno au jina...
3 Reactions
41 Replies
476 Views
Wanasayansi wamegundua kuwa nyoka wana kisimi, hivyo kuvunja dhana iliyokuwepo kwa muda mrefu kwamba jike hawakuwa na kiungo cha ngono. Utafiti uliochapishwa Jumatano unatoa maelezo ya kwanza...
3 Reactions
18 Replies
359 Views
ukiwa na mtaji chini ya million 20 usijichanganye kwenye biashara za muonekano ambazo, taka, frame, TRA, manispaa, ulinzi n.k wote wanakuangalia wewe, na hii era tunayoenda nayo ndio basi tena...
6 Reactions
10 Replies
323 Views
Hii ndio miaka millenials wapo primary and secondary huku bado wadogo zao gen z wapo kwenye mifuko na mayai🤣 Miaka hio tunaulizana mbna isidingo Haiishi maana tangu late 90s watu wanaangalia😬...
15 Reactions
191 Replies
3K Views
Mathayo 27:5: Yuda akaenda akajinyonga. Matendo ya Mitume 1:18: Akanunua shamba kwa ujira wa uovu, akaanguka kifudikoni, akapasuka katikati, matumbo yake yote yakamwagika.
2 Reactions
16 Replies
224 Views
Wakuu, Nimepigwa na kitu kizito kichwani. [emoji24][emoji24][emoji24] Dawa ya mvuto wa biashara ya Maalim X [emoji24] Maskini, ela yangu imeenda bure! Nyota yenyewe ndo kwanza imekuwa ya Mbwa...
5 Reactions
30 Replies
12K Views
Masheikh na viongozi wa dini ya kiislamu Bangladesh wamekasirishwa na kulaani kwa wimbi kubwa la wa Bangladesh kumshabikia Messi na timu ya taifa mpira Argentina kama wehu. Viongozi hao...
3 Reactions
26 Replies
374 Views
DALILI ZA WAZI ZA UFUKARA NA NAMNA YA KUKABILIANA NAZO Kwenye maisha unapoanza kufanikiwa kuna vitu huwa vinaonekana wazi kwamba maisha yako yamebadiliks hata kama wewe binafsi utaendelea...
14 Reactions
37 Replies
4K Views
She worked in a Cafe overtime just to make ends meet na mwamba hakuwa na kazi maalumu kwa miezi 8 mfululizo. Ila alitiwa moyo na kupewa muda ajitafute. Hakudharaulika kwa kutokuwa na chanzo cha...
7 Reactions
39 Replies
639 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…