Tanzania tunatakiwa kuwa kama. South Africa. Kuwe na majiji mengi yenye influence mfano Johannesburg, Durban, Cape Town etc. Sio hapa kwetu " Jiji" ni moja tu Dar. Kila mtu anataka kuja Dar. Media...
Yn 5:14 SUV
[14] Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi.
Matatizo mengine tunayafungulia...
Kero ya nzi wanaotokana na dampo lililopo Pugu.
Wahusika wa dampo hawamwagi dawa hivyo kusabababisha nzi eneo la Pugu Kinyamwezi.
Watu wapo hatarini kupata magonjwa.
Sisi vijana huru wa Tanzania, kupitia Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko, tunatoa msimamo wetu wa dhati kufuatia matukio ya vurugu yaliyojitokeza tarehe 29, 30 na 31 Oktoba 2025. Matukio hayo...
Kwanza mtambue kuuangusha mbuyu ambao umekaa miaka zaidi ya 20+ katika chama siyo mchezo lazima atafanya Kila jambo kuhakikisha mambo hayaendi chamani tena kwa msaada wa hata dola
Kwa sasa kuna...
Siku ya leo,jumatano nilikuwa na mawasiliano na moja ya jamaa yangu kuhusu jinsi gani atanitumia fedha ambayo nilikuwa namdai,wakati tunaongea na kumaliza maongezi baada ya kuambizana niwekee...
Pichani ni mradi wa Kawe 711 unaoendelea kujengwa
Vanessa Stafford alipoona taarifa kuhusu miradi mipya ya nyumba inayoendelea Tanzania hakuzungumzia ukubwa wa majengo wala usanifu wake. Badala...
Habari wana JF.
Katika jamii nyingi za Afrika, ni jambo la kawaida kabisa kusikia mzazi akimwambia mtoto wake:
"Usicheze na yule mtoto."
"Huyo atakufundisha tabia mbaya."
"Usiende kwao."
Lengo...
Katika kusoma tumejifunza kua mashoga hufa haraka au life span ndogo sana kulingana na tabia zao ambazo huwaletea magonjwa, msongo wa mawazo, ajali na majanga.
Cha kushangaza nimemuona shoga leo...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kutoa huduma za kibingwa na kibobezi kupitia madaktari wake bingwa na bobezi wa mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu katika...
Singo Maza anabembeleza na anakupa penzi kwa unyeyekevu na unasikia utamu.
Hivi vibinti vya Jen Z ambavyo havijaaa vina kiburi sana.
Vinakisirani kwenye mapenzi, havichelewi kununa mda wowote na...