Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je umewahi kujiuliza kwanini hujawahi kuanguka chini sakafuni kutoka kitandani ? Hata kama ungekuwa una usingizi mzito kiasi gani ikifika wakati wa kujigeuza unageuka tu!! Jibu hili hapa...
21 Reactions
96 Replies
2K Views
UKimya sio utupu wala amani bali ni lugha nzito inayozaliwa pale mtu anapochoka kupigana na dhoruba za maisha zilizomwandama kwa muda mrefu. Katika safari ya maisha na mahusiano, tunakutana na...
9 Reactions
7 Replies
254 Views
Sisi wananchi na wafanyabiashara wa Stendi ya Muda ya Bweri, Manispaa ya Musoma, tunatoa wito kwa Serikali na mamlaka husika kusikiliza kilio chetu kuhusu agizo la kutakiwa kulipa shilingi 50,000...
0 Reactions
21 Replies
303 Views
Wana jukwaa heri nyingi kwenu nyote. Tuko hapa jukwaani kutaniana, kukosoana, Kushauriana, kuelekezana kuhabarishana na mengine mengi. Mara ya kwanza kujiunga hapa jf ilikuwa 2012 yote Kwa yote...
22 Reactions
129 Replies
7K Views
Nimepata wasaa wakupiga story na wanafunzi watatu wenye rika moja, wa shule moja ya dini ya kiislamu, Nimestaajabu sana namna wanavyoishi. Nisijue kama wanapitia magumu au wanafunzwa maisha...
4 Reactions
40 Replies
879 Views
Masikitiko makubwa na hisia za kusalitiwa vinatawala maisha ya sasa ya Nahodha "Captain" Patrick Waweru Mwangi, rubani mkongwe wa ndege za biashara nchini Kenya. Katika simulizi yake ya...
4 Reactions
48 Replies
893 Views
Habari wana jukwaa naomba kuuliza ni kampuni gan (brand gani) ya A.C inadumu muda mrefu zaidi bila changamoto, gharama yake sio kubwa na ufanyaji kazi wake ni wa ufanisi zaidi?, Je ni kweli A.C...
0 Reactions
5 Replies
223 Views
Beach plot for sale Country:- Tanzania City:- Dar es salaam Location:- Bahari beach Price:- Billion 5 negotiable (Maongezi) Plot size:- SQMT 8000 Document:- Clean title deed (Ina hati kitoka...
0 Reactions
3 Replies
122 Views
Kuna familia zina enjoy old money kwa vizazi hadi leo Kuna msemo husema Generational wealth starts with one bigthief in a family Utajiri wa vizazi huanza na jambazi sugu moja ndani ya familia...
0 Reactions
1 Replies
94 Views
1. Usuli Takribani miongo minne na ushee hivi iliyopita, ilitokea kesi ya Ujasusi iliyomkabili Mtanzania, Juma Thomas Zangira. Kesi hiyo ya kihistoria na ya aina yake ilimstua si tu aliyekuwa Rais...
50 Reactions
80 Replies
16K Views
Nimeitoa FB ============================================================================ R.I.P uyo mwanamke ndiye marehemu na huyo wapembeni ndiye alikua akiishi nae kama mume hivyo alichukua...
6 Reactions
60 Replies
1K Views
Kama Mtanzania ambaye nimekuwa nikifuatilia kwa karibu suala la kiwanda hiki cha kusafisha mafuta (refinery) kuna mambo mengi ya kimkakati na kisiasa yaliyojificha nyuma ya pazia. Hivi karibuni...
1 Reactions
4 Replies
252 Views
Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi. Watumishi wa Ofisi ya NIDA Nzega pamoja na kiongozi wao wanadaiwa kutoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi. Baadhi ya wahudumu wana kauli zisizo za...
1 Reactions
1 Replies
115 Views
Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Kwaanzia leo na muabudu Yesu. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake. Siwezi kuendelea kuliabudu jiwe moja jeusi na kufuata mila za kiarabu. Wakristo...
28 Reactions
155 Replies
2K Views
Anonymous
Wakazi wa Kigamboni na watumiaji wa Sea Taxi tumekuwa tukikumbana na changamoto ya salio kupotea kwenye kadi zetu. Mara nyingi unaweka, kwa mfano, shilingi 1,000 asubuhi ukitarajia zitakutosha kwa...
0 Reactions
2 Replies
121 Views
Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumeambatana na tuhuma za upendeleo na matumizi ya mgogoro wa kimataifa kujinufaisha kupitia biashara ya mafuta...
4 Reactions
7 Replies
233 Views
Kuna mabinti wanajiheshimu sana hata ile namna ya kumfuata kumtongoza huwezi ipata kabisa na mara nyingi huwa wamenyooka katika maongezi yao Kuna mmoja nakutana nae kwenye mitikasi yangu na...
6 Reactions
26 Replies
361 Views
Wapenzi wa michezo ya video wanaendelea kujiuliza kama ni bora kununua PlayStation 5 sasa au kusubiri PlayStation 6 ili kucheza GTA 6. Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Rockstar Games, mchezo wa...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Mimi ni mzanzibar na mtanzania kadhaalika.... Leo nimeona tena maovu makubwa sana kwa eneo la Malindi zanzibar... Askari wamekua Hawna ubinaadamu wala imani ktk kazi zao.. Askari amenikamata...
2 Reactions
5 Replies
193 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…