Its Jensen
Member
- Mar 30, 2023
- 59
- 97
..
Mkuu hutaki monitorAibu naona mimi
Naomba kazi hata kesho nije ofisini kwakoPambana bwana.
Uwe hata na kazi mbili au tatu.
Usirudi nyumbani
Siwezi Mzee ndio maana nauza vitu vyangu sababu najua nitanunua tuAngalia usije ukauza ubingwa.
Maana nyie vijana wapenda short -cut hamchelewi.
Sijawahi pata hela kwenye forexDah, kwaiyo lawama zote wanapewa wanajamvi kwamba wamekutelekeza. Vipi uliokua unadown nao pesa za forex wamefanya nini?
Pamoja mkuuPole sana mkuu natumai utapata mteja
MUNGU akubariki sana