Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dunia imepitia uongo, utapeli, na propaganda nyingi Sana, ila Uongo mkubwa zaidi ni huu, Hebu fikiria, unaambiwa kuna mungu muweza WA yote, yupo sahihi na hajawahi kukosea, Ameumba...
9 Reactions
100 Replies
1K Views
Hili la kuvaa sare wanafunzi wa diploma kozi za afya linashusha hadhi ya wanachuo huwezi kujiita mwanachuo huku unavaa masare kama sekondari Mbaya zaidi kuna vyuo vinaagiza wanafunzi waje na...
4 Reactions
5 Replies
147 Views
Anonymous
Mimi ni Mkazi wa Mji wa Ilula, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa, napenda kuwasilisha kero kuhusu mwenendo wa baadhi ya askari polisi kufanya kamata kamata ya vijana usiku kwa madai ya kuwa ni...
0 Reactions
4 Replies
637 Views
Ukianzia Elimu Kilimo Afya Sekta ya usafirishaji Katiba na sheria Elimu mtoto analipiwa na bodi ya mikopo 1M ila hela ya kujisajili 50k Inamfanya asifanye mtihani Mtaala mpya wa Elimu sekondari...
6 Reactions
9 Replies
179 Views
Yesu yupo karibu yako hayuko mbali na wewe.YESU anajibu maombi ya watu wake ukiomba kwa imani kwa jina la Yesu. Ukijinyenyekeza chini ya mkono wa Yesu wenye nguvu,ukijiona haufai mbele ya...
2 Reactions
6 Replies
664 Views
Kwanini waislam wanaelekea upande ilipo Al-kaba wakati wa kuswali?
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Zaburi hizi 1)zaburi ya 23 (wagalatia 3:13,mwanzo 22:14 isaya 54:17) 2)zaburi ya 27 3)zaburi ya 64 4)zaburi ya 91 5)zaburi 112 (wagalatia 3:29,mithali 3:29) 6)zaburi ya kwanza 1 .(yeremia...
5 Reactions
27 Replies
510 Views
1.wote mganga wa kienyeji na mchawi wanapokea/wanatumia nguvu za ufalme wa giza. 2.wote mganga wa kienyeji na mchawi wanaoeleka sadaka zao,kafara,dhabifu mbele ya madhabahu moja ya ufalme wa...
2 Reactions
27 Replies
395 Views
Anonymous
Pale Ilala Sokoni kuna utaratibu umeanzishwa na viongozi wa soko na kutoka juu, wanataka Wamachinga au Wafanyabiashara wadogo wadogo ambao wanamiliki vizimba au meza na baadhi ya maeneo, Eti...
0 Reactions
0 Replies
531 Views
MKUU wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Dkt. Vincent Anney ameongoza juhudi zilizofanikiwa kuvunja ndoa ya kimila iliyokuwa imefungwa kati ya Mahene Kulwa na mwanafunzi aliyekuwa amechaguliwa...
5 Reactions
24 Replies
451 Views
Anonymous
Kwa zaidi ya miaka 7 sasa wafugaji wenye makundi makubwa ya Ng'ombe wa jamii ya wamang'ati na wasukuma wamevamia na kuingiza mifugo holela kwenye vijiji vilivyopo wilayani Nachingwea mkoani Lindi...
1 Reactions
4 Replies
115 Views
Mkoa wa Geita wilaya ya nyan'gwale kata ya KHARUMWA kuna kituo cha polisi pale. Watu wa Takukuru kama wanataka uwajibikaji mzuri kwa hiki chombo cha Dola .. Basi waende pale kufuatilia kesi za...
2 Reactions
5 Replies
116 Views
Kufanya kazi katika maeneo ya vijijini huku makazi yako yakiwa mjini kunaleta changamoto nyingi za kifedha na kijamii. Baadhi ya changamoto hizo ni: 1. Gharama kubwa za kununua usafiri Watumishi...
4 Reactions
2 Replies
181 Views
Hata vijiweni tu anzisha mada ya Usalama wa Taifa utaona kila mmoja atakavyotiririka. Hapa kila mmoja atakuwa na aidha jamaa, ndugu au jirani ambaye ni Usalama wa Taifa. Kila mmoja anataka kuwa...
31 Reactions
145 Replies
18K Views
Kwa waliosoma cross examination ya Lissu dhidi ya Bwana Jela wa Ukonga, ni wazi wataona jinsi serikali nzima ya Samia imekuwa ikimfanyia Lissu kila aina ya ukandamizaji, ubaguzi, uonevu...
19 Reactions
43 Replies
954 Views
Msikieni huku mchangisha michango Msanii na mdau wa sanaa Steve Nyerere amependekeza Wizara ya Mambo ya Ndani kusitisha utoaji wa leseni za uchungaji, akisema hatua hiyo inaweza kusaidia katika...
2 Reactions
10 Replies
253 Views
Sio ngumu kama mnavyofikiri ni nyepesi sana.kama kazi yang ni kuosha maiti na pili kuzisafrisha kwa mapumziko
2 Reactions
8 Replies
137 Views
Anonymous
Napenda kutoa taarifa kuhusu changamoto ya ukiukwaji wa sheria za usafiri unaofanywa na baadhi ya mabasi ya Kampuni ya Moud, hasa basi lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Tanga. Kuna mambo...
1 Reactions
1 Replies
98 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…