Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,465
- 29,654
Mabango ya "Chagua Samia" hadi leo yapo barabarani, japo uchaguzi umeisha tangu October 2025.
Sasa swali ni kwamba, kwa kuwa ukiweka bango barabarani kama hayo ya "Chagua Samia" lazima ulilipie, CCM wanaendelea kuyalipia?
Na je CCM walipoweka hayo mabango waliyalipia?
Kuna watu hayo mabango yanatonesha vidonda vya Octoba 29 na ni bora yaondolewe haraka, labda kama bado yamelipiwa