Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau tafadhali mjisomee biblia takatifu kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana mtakuta ushahidi kamili huko, muhimu ukiwa unasoma omba roho mtakatifu akuongoze. She's the last prophetess
2 Reactions
15 Replies
183 Views
Habari wadau. Nipo jirani na shule ya msingi MIBURANI ambayo ipo wilaya ya temeke, naona watoto wanachangishwa sana michango ya mlinzi, umeme, maji na siku ingine ya walimu ya kujitolea. Kila...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kila binadamu, anachumba cha siri sana ni mara chache sana hufungua chumba hicho ila usiombe akifungue madhara yake ni makubwa. Mwaka 2018, nilikuwa namiliki biashara ya kuuza pombe, Min...
25 Reactions
28 Replies
743 Views
Nimeona hizi tuhuma kwa Dr.Newton mhenga…🧑🏿‍⚕️ nikasema niwaulize wataalamu wa afya waliopo humu kama zina ukweli wowote. Millenials wengi tumetibiwa na hawa COs. Zamani zile madaktari walikua...
4 Reactions
9 Replies
220 Views
Ni rahisi kuwateka akili wa Tanzania ukiwaambia mambo ambayo masikio yao yanataka kusikia na ndioomaana Mitume na manabii uchwara wanafanikiwa sana wameshaijua code ya kuchezanayo
4 Reactions
18 Replies
142 Views
Wanganyika wanauliwa kwa haya mengi Ugunduzi na Uchunguzi wa Awali • Mradi wa madini adimu wa Ngualla uligunduliwa na Peak Resources mwezi Agosti 2010. • Uchimbaji wa awali wa visima na...
2 Reactions
13 Replies
721 Views
Kila mwanadamu ana kitu anachokitarajia katika maisha Kuna mambo ambayo bado hayajatimia, lakini moyo unaendelea kuamini kwamba ipo siku jambo fulani litatokea litatimia Mawazo haya ipo siku...
12 Reactions
159 Replies
1K Views
Najiuliza, kwa nini wataalamu wetu wameshindwa kubadili ukali wa sabuni zisiweze kuumiza? Najiuliza ina maana hawa wanasayansi wameshindwa kuiondoa hiyo kemikali inayoumiza machoni? Naomba...
2 Reactions
7 Replies
102 Views
Kauli tata za Nchimbi tangu awe makamu wa Rais zinaweza kuwa zinasukumwa na yafuatayo 1. Inawezekana amegundua hayuko kwenye mbio za urais 2030, kwamba tayari wenye chama wameshaamua ni kati ya...
11 Reactions
40 Replies
726 Views
Ni kwamba sisi consumers ndio tunapenda mambo ya uchawa, kelele kelele na watingisha matako au basi hatujaamua kufanya content zilizo concious na wakapata umaarufu Au basi tu watengeneza maudhui...
4 Reactions
8 Replies
123 Views
Mmemsikia makamo wake anavyosema #KatibaMpya
2 Reactions
5 Replies
126 Views
Ni katika maadhimisho ya miaka 500 tangu kuanzishwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri. Waumini wote wa kanisa hili katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani(DMP),watakusanyika kufanya ibada ya...
15 Reactions
156 Replies
20K Views
Pichani ni katika Kijiji cha Maposeni kilichopo Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma, ambapo ulitokea msiba wa kijana aliyetambulika kwa jina la Petro Joseph Pili. Msiba huo ulihusishwa na imani za...
6 Reactions
21 Replies
468 Views
Hakuna mtu atakayekuja kukuambia au kukufundisha ukweli. Ukweli unafahamika na unapatikana kupitia kufahamu. Kufahamu ukweli ndiyo ukweli wenyewe na hiyo ndiyo maana ya maana ya kufahamu kweli...
2 Reactions
2 Replies
87 Views
Nimepita Arusha wilaya ya Meru sehem inaitwa Maji ya Chai pale dampo mtaa wa masaleni. Kuna miti na majumba chini na usawa wa service line ile kubwa ya umeme, niwaulize Tanesco hizi nguzo za umeme...
3 Reactions
22 Replies
491 Views
https://youtu.be/pYos49unMLM?si=GFK-r4XxqDHMLptU
1 Reactions
0 Replies
57 Views
Nawasalimu wote. Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU. Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
12 Reactions
200 Replies
7K Views
Aisee kama ni kweli itakuwaje Allah is prophet Muhammad family deity, because Mohammed father name is Abdullah, which means servant of Allah or slave of Allah. And he was pagan worshipping Allah
1 Reactions
4 Replies
112 Views
MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA IRAMBA TAYARI KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO Mwenge wa Uhuru umewasili katika Wilaya ya Iramba ukitokea Halmashauri ya Manspaa ya Singida na kupokelewa rasmi na Mkuu wa...
0 Reactions
5 Replies
32 Views
Wahamiaji wasiopungua 14 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Visiwa vya Comoro wamefariki dunia, huku wengine 22 wakiokolewa baada ya boti yao kuharibika karibu na Kisiwa cha Mafia...
3 Reactions
29 Replies
370 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…