Serikali imeweka mkazo katika kuhakikisha huduma za VVU/UKIMWI, Kifua Kikuu (TB) na Malaria zinaendelea kutolewa kwa ufanisi, bila kuathiriwa na mabadiliko ya ufadhili wa nje, huku ikiendelea...
Sisi watumiaji wa hii barabara ya kutoka Dar, Kibiti, Lindi hadi Mtwara tunaomba serikali hii kiziwi ufunge hii barabara sioni sababu ya kuendelea kutumika huku wananchi wanateseka na barabara...
Watu weusi🚮
Soma pia
Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja.
Wamachinga wa kichina...
Utafiti wangu mdogo wa Biashara mtaani naona kuna uhaba wa pesa,unaoleta changamoto kwa watoa huduma mtaani kupata maokoto waliyozoea. Yamepungua sana!
Sijui ni Mbinyo wa Mabeberu au Makusanyo ya...
Mtangazaji Naomba niirudie hii habari... ambayo imeandikwa kwenye gazeti Mwananchi: ATHARI KUTUMIA SIMU KUTULIZA MTOTO ANAYELIA.
Sasa, miaka ya hivi karibuni, simu za mkononi zimekuwa ni sehemu...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limetoa taarifa kuwa limefanya maboresho ya mawasiliano yake kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wadau...
Wasafiri wanaotumia huduma ya Mwendokasi kutoka Mbezi kwenda mjini wameeleza kusikitishwa na kiwango cha nauli kinachotozwa, ambacho ni Shilingi 2,000 kwa safari moja.
Wananchi wanasema hali hiyo...
Huu ni ujumbe wangu kwako, naendelea kusambaza vipeperushi vya amani kuomba Humphrey Polepole arudishwe haraka sana kwaajili ya kutusaidia kujenga hoja za maridhiano.
Nimeona CHADEMA wanaendelea...
Kiukweli kati ya mambo yanayonikera na nayoyaona ni wizi wa wazi au tozo ambazo ni kero ni huu unaoitwa Ushuru wa stendi.
Logic ya hii tozo ni nini ikiwa abiria anaenda kusafiri na Haingizi Pesa...
Kama ulitumia mitandao ya kijamii siku ya jana basi kuna asilimia kubwa ulikutana na post hii ambayo iliibua hisia kwenye comment sections, panapo majaliwa sote tuungane kumpazia sauti kijana.
·...
Mbona misafara ya marais ya nchi zilizoendelea sio kama misafara ya marais ya nchi za afrika unakuta kwenye msafara wa rais kuna gari zaid ya 20.
Ni nini shida au nchi za afrika zinahela sana
Kuwa headline kwenye international Media sizo kicheko, inategemea unatrend kwenye engo gani.
Hapa tunaenda kukosa Visa kwa nchi zitakazoamua kutupiga ban.
Hapo ndiyo chanzo cha watalii kupiga...
Mzuka sana, sana sana sana sana yani sana yaaaaaaaaani.
Hivi ni nani alianzisha hili wazo, bonge Moja la idea,
Jamani kipi unalikumbuka kuhusu Dodoma hususani kwenye marathon kama hii, zamani...
Habarini wanajamvi,
Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga...
Kutangazwa kwa gawio la Vodacom litakuwa na effect chanya kwenye bei ya hisa (bei kupanda) kwa kipindi cha hisa kuuzwa pamoja na gawio 27 Julai - 17 Agosti na itashuka kipindi cha hisa kuuzwa bila...
Huyu dada anafanya biashara ya matunda usiku wa manane bar akiwa na mtoto mdogo sana mgongoni
Kwa kukadiria umri wa huyu mtoto ni miezi 2 - 5
Hii ni hatari kwa afya ya mtoto kwa sababu eneo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo, Jumatano tarehe 29/07/2026 imewaachia huru wanafunzi 18 wa Vyuo Vikuu mbalimbali Nchini wakiongozwa na Frank Benjamin Kayamba waliokuwa...