Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tarehe 5 december nilisema kuwa baada ya watu kumaliza kuswali misikiti yote na kwa nini walipunguza sauti kwenye mawaiza. Sikuwa na nia ya uchonganishi ila kuna mambo ambayo pandikizi tumeyaona...
1 Reactions
10 Replies
521 Views
Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt. Abubakar Bin Zubeir, amewata Watanzania wanaoishi nje ya kutumia fursa zilizopo huko ili kujenga uchumi wa Tanzania, kukiko kutumika kuvuruga amani iliyopo. Mufti...
0 Reactions
7 Replies
262 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa baadhi ya picha zilizokuwa zikisambaa zikidai kuonyesha kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA) umevamiwa si za matukio ya...
5 Reactions
46 Replies
1K Views
"Wapo wananchi ambao bado wanahofu na wapo ambao nimeona wameenda sokoni wananunua vitu vya muda mrefu kwamba labda kutakuwa na 'lockdown' sisi kama kamati ya amani katika mkoa wetu tunaamini bado...
5 Reactions
12 Replies
437 Views
Nimeandika ujumbe huu ili baadaye Muumba asinilaumu kwa kushindwa kutoa neno linaloweza kuponya maelfu ya vijana wenzangu Tumekuwa tukijadili mada nyingi hapa JF kwa muda mrefu sana hasa mada...
2 Reactions
55 Replies
1K Views
Inawezekana kwa 2001 kule visiwani hili wazo lilifanya kazi kwa sababu mbalimbali na sababu kuu ni kutokuwa na maendeleo makubwa ya teknolojia kwa wakati huo. Inasemwa kwamba visiwani kulikuwa na...
8 Reactions
17 Replies
832 Views
Wakuu Nimeona taarifa juwa hali ya usafiri Dar kwenda mikoani imekuwa changamoto, wasafiri ni wengi kuliko mabasi. Je kuna tetesi zozote za magari kutokusafiri ikikaribia Disemba 9? Ama wananchi...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Ndugu Wadau, Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa Wazee wa Dar (Desemba 2, 2025) ilikuwa fursa ya kipekee ya kuponya Taifa lililojeruhiwa, lakini uchambuzi wa kauli zake unaonyesha wazi kuwa...
2 Reactions
6 Replies
329 Views
Serikali ya Tanzania kukumbatia dini hasa viongozi wa kikristo na kiislam kutaiponza kwani hawa ndiyo chachu ya anguko la HAKI kwa kufanya kinyume na wanayoyahubiri wamekuwa...
2 Reactions
17 Replies
450 Views
Nawapenda sana Wahenga na ule Msemo mzuri kuwa siku zote dalili ya Mvua za TZ na Marekani ni Mawingu yake.
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Kituo cha Usaidizi wa Kisheria cha Everlasting Legal Foundation (ELAF), Dkt. Hamis Masoud, amelaani vikali lugha za uchochezi wa kidini, akisisitiza kuwa kama tunakwenda kwenye hatua...
0 Reactions
28 Replies
692 Views
Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama. Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na...
6 Reactions
20 Replies
850 Views
Ndugu wajumbe Nimesikia mahali Posho yangu kidogo niliwapa wapinzani maana walikuwa vibaya sanaa wamechoka kwenye nchi za watuu. Uchambunzi huru. Serikali yao ndio iliyosababisha wakimbie nchii...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru washtakiwa 47 waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya uhaini katika mashauri mawili tofauti shauri la kwanza likiwa na washtakiwa 11 na la pili likiwa...
1 Reactions
3 Replies
279 Views
Habarini,ni wazi uongozi au jeshi bora siku zote hutikana na watu wake wa chini kuwa bora kwa uadirifu katika nidhamu,hekima,ukweli na uwajibikaji. Wasaidizi wengi wa Rais ni mamburura wa kutupa...
0 Reactions
14 Replies
355 Views
Kuna namna wanafanya vitu kwa mihemko, kuna watu kabisa wanaonekana hawakua na kesi lakini wakawapa kesi ya uhaini bila kujua hao watu ndio wanawatengeneza kua wapinzani wao. Mtu wanajua kabisa...
0 Reactions
4 Replies
214 Views
Swala la vijana wa Gen Z kujihusisha na matumizi ya silaha pamoja na nia ya kuharibu Uchumi wa Taifa kama taarifa hii ilivyotolewa na Jeshi la Polisi inadhihirisha kuwa vijana hawa ni wahalifu na...
0 Reactions
9 Replies
345 Views
Hii nchi kunashida ya genetic za waafrika halafu anajiita dokta sijui wa nini?. Yani katika vitu tanzania vitakuja kusababisha matatizo ni hawa CCM wanaotawala kwa kujipa vyeo na elimu ambazo...
2 Reactions
8 Replies
263 Views
Habari wadau. Kiukweli Tanzania tumeshapiga hatua kubwa sana kimaendeleo shida ipo kwenye strategy tu. Hapa ndo tunapofeli. Mipango mikakati hamna kabisa wapi tuanzie wapi tuishie tunafeli...
0 Reactions
1 Replies
174 Views
Back
Top Bottom