Wanawake wa kijiji cha Magingo, kata ya Mkongotema wilayani Madaba mkoani Ruvuma, wapo hatarini kupata magonjwa ya zinaa kutokana na kukumbwa na vitendo vya ukatili wa kingono vinavyofanywa na...
Tena ni njia iliyojificha vizuri mno kwa sababu inakupa utulivu wa muda mfupi huku ikikuepusha na maumivu ya ukweli unaotakiwa kuukabili.
Unapojifariji kupita kiasi, unakua unatengeneza "mto...
KICHWA KINAJIELEZA we una mtazamo upi?
kama dunia ingekua na watu weusi peke yake yani waafrica tu tungevumbua kitu gani dunia ingekua wapi.? kiteknolojia..?
TUSIWE WAKALI:
Kwanza sadaka sitoi
Huyu bwanah anatoa maandiko huku ananikodolea macho nafikiri atakuwa ameelekezwa tu namtu anipige vijembe
Kaanza na mada za ugomvi na kupigana , anazungumza huku ananitolea...
Habari JF, mashine ya kipimo cha Bronchoscopy haifanyi kazi MNH Mloganzila na Upanga kwa takribani zaidi ya miezi 8 sasa. Wagonjwa wanapata tabu Je swala hili limekosa ufumbuzi?
Pia soma ~...
Nyumba yako umejenga mwenyewe unaambiwa lipa kodi kwa serikali
Na hiyo kodi wajanja wanaila
Maji ni ya mito na yaliubwa yatumike nikitendo tu cha wananchi kuchangiana kuleta mabomba, lakini ewura...
Nimekuwa mwalimu kwa miaka mingi sasa, nilijochokifahamu mwalimu wa Tanzania hasa Hawa secondary na primary school hawapwendi na wanazaraulika na karibu kila mtanznia. Mimi biñafsi watu...
Rais Samia Suluhu Hassan amekataa ombi la wachimbaji madini kuhusu kupewa ruzuku kutoka serikalini akitania kuwa wana pesa kiasi cha kufanya harusi kwenye helikopta.
Julius Kambarage Nyerere alikuwa kiongozi wa Kitanzania alieiongoza Tanzania, na kabla ya hapo Tanganyika, kuanzia 1960 hadi alipostafu mwaka 1985. Anatambuliwa kuwa ndiye Baba wa Taifa.
Julius...
Mambo 50 ya kisaikolojia yatakayokuacha kinywa wazi
Hii ni kwel hata kama ulikua hujui kubali tu, maana ndio ukweli uliopo.
1. Mtu hufanya ishara nyingi za mikono akiwa anazungumza ukweli...
Naaaam Jumapili fulan tulivu
Ewe Mzazi usithubutu kumruhusu mwanao Kwenda kufanya kazi Dubai , Thailand na Maeneo mengine ya Asia hasa akiwa wa kike
Hili ni suala gumu lakini muhimu...
Habari zenu wakuu ,
Nchi yetu imekuwa ni ya mipango ya muda mrefu bila ukamilishaji kwa muda , na kupanga bila kuangalia mbele,
Ninaangalia nchi nyingi duniani huwa na mipango endelevu amnbayo...
Tangu nilipoanza kujitambua na kupitia misukosuko ya utu uzima, nimejikuta nikivutwa na hitaji la kutafakari maisha ya binadamu kiujumla — si kwa mtazamo wa mafanikio binafsi, bali kwa namna...
Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines...