Habari za leo? Sisi ni wakazi wa Sanawari, Arusha mtaa wa Moivo. Tunaomba utusaidie kupaza sauti ili ndugu zake wapatikane. Huyu ni jirani yetu, ameuawa kwa kuchomwa kisu na mkewe juzi usiku baada...
Mwanamume mwenye umri wa miaka 26 nchini Wales amekamatwa baada ya mamlaka kusema alipanda juu ya paa la hospitali akiwa amevaa mavazi yanayofanana na “Grim Reaper” (Mtoa Roho) na akasimama kimya...
Suala la kadi za Mwendokasi now zimekuwa kero hazipatikani, raia wengi wana uhitaji nazo, Matumaini yangu kama JamiiForums watalizungumzia naamini mamlaka husika litalifanyia kazi kwa wakati🙏...
Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza inaendelea kusisitiza kuwa haipingi maendeleo wala uendelezaji wa eneo la Sinza. Hata hivyo, tunaamini mchakato huu unapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria...
Mimi huwa naangalia mada zinazonigusa hisia kwa siku husika au muda husika wenye tukio husika
mfano kama siku nimeamka nina hisia na mpira basi siku hiyo mada nitazozipa kipaumbele ni za mpira...
KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - Anuani ya Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufuatilia hiyo...
Habari
Hatukatai kwamba kwa sasa serikali inafanya mambo mengi ambayo wananchi hawayafurahii na kiwango cha uungwaji mkono ni kidogo sana kulingana na aina ya utawala uliopo
Matukio mengi...
Hakika ubinadamu ni kazi sana.
Tunatamani pesa ila tukiipata tu naona haina maana.
Tunapenda wanawake wazuri, ila tukichapiwa tunasahau ni kwa sababu kuna mtu anadau zaidi yetu.
Wanawake nao...
Tanzania inatarajiwa kuingiza zaidi ya Sh bilioni 10 kutokana na mauzo ya biashara ya kaboni baada ya Serikali kuidhinisha miradi minne itakayouza tani milioni 4.2 za kaboni katika soko rasmi la...
Tunaopata huduma hospitali ya wilaya ya Mpimbwe tunatozwa fedha za huduma na risiti tunapewa lakini huduma zao ni mbovu sana.
Hawana hata gloves za kutuhudumia mpaka mgonjwa akanunue nje, dawa...
Hi wana Jf,
Nimejaribu kuchunguza hasa hizo nchi zetu za Africa hususani (East Africa) limekuwa ni jambo la kawaida kukuta kijana ana miaka takribani 30 na bado anaishi kwa wazazi wake bila aibu...
Habari za hasubuhi?
Huyu binti anaitwa Rachel dangwa anatakiwa apatikane na arejeshwe nchini ashitakiwe.
Sote tunaona nchi yetu kwa sasa inavyoendeshwa, Maisha ni magumu, Wananchi hasa wa hali...
Zaman usiku mmoja ilikuwa inakula point 35
Naona kadri siku zinavyokwenda matumizi yanapanda. Hakuna tv wala pasi wala sabufa ni nyumba tu ambayo nimeijenga kwaajili ya dharura na hakai mtu, na...