Maisha ya Binadamu ni mafupi sana,kila kiumbe chenye uhai kitaonja umauti,hakuna atakaye ishi milele,walikuwepo watu kabla yetu na watakuja wengine baada yetu,
Wapo watu walioifanya hii Dunia kua...
Sekta ya vinywaji vya kilevi ya Tanzania inakabiliwa na usumbufu katika soko la Rwanda baada ya mamlaka za udhibiti nchini Kigali kusitisha kwa muda uagizaji wa bidhaa na kuagiza kurejeshwa sokoni...
Kuna hili sekeseke la HALMASHAURI kupima na kuuza viwanja sehemu mbalimbali za nchi. Viwanja hivi vinauzwa kupitia mifumo mbalimbali ikiwemo Tausi.
Ni kweli viwanja hivi vimepimwa lakini...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda, ameshangazwa na kiwango cha ubunifu wa teknolojia zinazobuniwa na kuzalishwa na kampuni ya...
Jamaa wamechoka na uvivu wa wa south,wanafikiri kuhamia Zimbabwe au popote penye hali nzuri yenye utulivu amani upendo, ambayo ni Tanzania pekee!,wanadeal na fruit canning na tourism hotel,that...
Dar es Salaam-Tanzania, 07 Agosti 2026: Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Bia leo, Serengeti Breweries Limited (SBL) inaungana na maadhimisho hayo kwa namna ya kipekee baada ya bidhaa...
Naomba kuongezewa maarifa au ufaham juu hili swala la vyeti fake. Namaanisha hiv swala la kutambua vyeti fake linafanywa kwa style gan? Je, watumia macho ya kawaida kwa kutazama tu au kuna mashine...
Ukiona watu wengi hivi ujuwe umasikini ni mkubwa sana, pia elimu ni duni katika jamii. Ibada za kijinga kabisa kuhusu miujiza, ni utapeli kutumia shida na ujinga wawatu kama fursa hadharani...
Leo Agosti 6, 2026 nilikuwa na safari ya kutoka Dar kwenda Mwanza, kupitia usafiri wa ndege ya ATCL, nilifika Airport na kukamilisha taratibu zote za 'Check-in' kabla ya safari iliyotakiwa kuanza...
Nyumba ya kibali cha kujengwa floo 6 ila imejengwa floo 13,
imeamriwa kubomolewa ila kwa Tz hii sijui kama ilo litatokea kwa maelezo zaid Kasikilize interview ya Khalifan wa the chanzo alisema...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameagiza kukamatwa kwa mmiliki na mjenzi wa jengo moja lililopo Masaki, baada ya kubainika kuwa walijenga ghorofa 13 badala ya ghorofa sita...
Huyu wa kuitwa Jini mahaba ni mpuuzi sana. Kipindi fulani, baada ya kuoa alikuwa ananijia Kila siku usiku na tulikuwa tunadinyana hadi nikaenda kwa mchungaji Ili aniache, lakini yeye hakuacha...
Naomba niwasilishe taarifa hii tukiwa na uchungu mwingi kama familia, hapa tunapoandika ujumbe huu tunajiandaa nyumba yetu kubomolewa Jumamosi hii Juni 13, 2026.
Sababu kubwa ikiwa ni dhuluma...
Na Mwandishi Wetu.
KAMPUNI ya Mati Super Brands Ltd kupitia tawi lake la Mati Technology imezindua teknolojia mpya ya ndege nyuki (drone) zinazotengenezwa nchini, zenye uwezo wa kuboresha sekta...
Kuna fundi simu nilimpa simu anitengenezee. Simu hiyo ina thamani ya TSh 850,000.
Huyo fundi aliitengeneza lakini hakujua tatizo lake na akashindwa. Nikamlipa, kisha akanishauri niende kwa fundi...
Jeshi la Polisi Tanzania, lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha Dereva wa Pikipiki akizozana na Askari Polisi huku askari hao...
Utaijua tu
Pombe kali za bei rahisi, kichupa kizima 2,200 nusu 1,100, zipo za 2,000 mpaka nusu 1,000
Bima raia wake wamekata bima za kupata tiba mahospitalini lakini ikitokea wamezidiwa na...
Mara Nyingine number 13 watu huichukulia kama namba ya mkosi ,
Lakini tunajiuliza sana kwanini watu huchukulia namba 13 kama namba ya mkosi, yanayosemwa yana maana kubwa sana ndio maana leo hii...