Past sentiments by President William Ruto about wishing his daughters would marry Kenyans have resurfaced after recent family milestones.
Yesterday, Charlene Ruto got engaged to a Tanzanian...
Yaani unawaita CHADEMA ni "watukutu wenye pepo mchafu" halafu unataka waitikie wito wa mazungumzo!
Leo Agosti 12, 2026, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Hapi, ametoa kauli...
Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026...
TANESCO wanakata umeme nyanda za juu sababu wanatandaza nyanya Dodoma-Chalinze. Hii kijiografia na kiusambazaji wa umeme imekaaje maana hainiingii akilini?
Wakazi wa eneo la Jaws Corner, Mji Mkongwe Zanzibar, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ziara yake katika eneo hilo, wakisema imewapa faraja...
Diamond Platnumz kamkaribisha Trey Songz kutoka Marekani pengine lengo lake nikufanya collabo
Ukweli ni kwamba huyu msanii alishashukaga thamani miaka mingi sana iliyopita na amesha ejected...
Ukienda benki upande wa ATM mashine kati ya wateja 10 wanaotaka kutoa pesa, labda mteja moja ndio anaweza kutumia huduma ya contactless card reader. Kwani bado watu hawajui kuwa pia unaweza kutoa...
SIKU YA MASHOTO DUNIANI
LEO Agosti 13, ni siku ya Mashoto Duniani (International Lefthanders Day). Siku hii imekuwa ikisherehekewa kila mwaka toka Agosti 13, 1976 pale chama cha Mashoto...
Habari wakuu
Mimi si mnazi, Wala Sina DNA za siasa ila naamini kabisa Magufuli akifufuka Leo, atakufa tena kulingana na Yale aliyoyaacha na yanayojiri🙌🙌💔
Wengine watakuja na hoja Vipi kuhusu...
Naanda hili tukio, kabla mwaka haujaisha lazima tulifanye.
LOCATION itakua dar.
Kiingilio kwa wanawake itakua free, cha msingi uwe njema, wanaume kiingilio Bure ila cha msingi usikose 500k ya...
Mageti ya kuingilia na kuruhusu magari katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere yamekuwa yakikumbwa na changamoto za mara kwa mara, ambapo mara nyingi hayafanyi kazi ipasavyo.
Hali hiyo imekuwa...
Nilikuwa nasikia watu wanasema kabila la wahaya watu wake Huwa na sifa au misifa, sikuwahi ku experience hiyo tabia Yao ila Sasa nimeshuhudia.
Aisee hawa jamaa ni hatari, wanasifa balaa...
Wakati wa kampeni alipanga kupigwa shaba (kukunwa na shaba) akatamba si muoga, sasa anajificha...
Ila kwa kweli huyu jamaa kama si mwehu basi uzee unamvamia vibaya mno na hastahili kubaki ofisini...
Inasemekana kuwa maeneo deep ya ujaluoni kuna uchawi ulio kithiri sana.
Inasemekana hata maendeleo yamedumaa maana anaeunuka anadondoshwa in no time.
Je hii ndio inaweza kuwa sababu kuu ya...
Wakuu Ulimi wangu Leo siku ya 8 umepoteza kuhisi radha Halafu nilikila kitu chenye pilipili Unauma kuliko kawaida wakati Mimi ni fan wa Pili Pili nimeacha kutumia nakula Chakula ili nisife ila...
Nimeona mara nyingi sana watu wazima wengi wakilalamika kuwa vijana wa sikuhizi hawana adabu, hawasalimii, hawapishi wazee kwenye siti nk
Je, ni kweli kijana asipokupisha kwente siti, hana adabu...
Ofisi ya NIDA Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wamekuwa na tabia ya kusumbua Watumishi wa Umma wanaotaka kubadilisha taarifa zetu kwa wale ambao wana changamoto au walikosea kujaza au ilikosewa na...