Msaada Ulimi wangu umepoteza radha

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Wakuu Ulimi wangu Leo siku ya 8 umepoteza kuhisi radha Halafu nilikila kitu chenye pilipili Unauma kuliko kawaida wakati Mimi ni fan wa Pili Pili nimeacha kutumia nakula Chakula ili nisife ila radha siiskii wakuu nina tatizo kubwa naombeni msaada.

Naombeni Ushauri, tiba ya huu ugonjwa I am worried hadi nyama choma yenye ndimu siiskii radha yake ila pilipili nikila naihisi Ukali ambao siyo wa Kawaida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom