Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu Naomba kujuzwa usafiri mzuri kwa sasa (Luxury) kwenda Miji tajwa hapo juu kutoka Dar, hasa kwa basi kwenda zinazofanya safari za usiku. Asante
0 Reactions
6 Replies
108 Views
Huwa najaribu kuwaza kunamatangazo. Haya ya pombe mwisho huwa wanasema haiuzwi kwa waliochini ya miaka 18. Je ni kweli wahudumu huwa mnawauliza wateja wenu umri wao kabla ya kuwauzia bia??????
1 Reactions
6 Replies
91 Views
Ndoto ya Watanzania kumiliki nyumba imeendelea kukumbwa na changamoto kutokana na kupanda kwa gharama za vifaa vya ujenzi, hali inayotajwa kuongeza uwezekano wa kupanda kwa kodi za nyumba...
2 Reactions
11 Replies
274 Views
A cunt is a cunt Tapeli ni tapeli tuu Hata siku moja usichukulie poa vitu vidogo ambazo unakuwa una notice kutoka kwa mtu, ukidhani vikubwa ndio hatari kuu, no utangeneza bomu Pale unapokuwa...
2 Reactions
2 Replies
60 Views
Usibembelee Ndugu Washenzi na Wachawi, Kuna Muda Damu Inakuwa Sumu Epuka Kuilamba! Wakuu, leo nataka tushushane pumzi na tuambizane ukweli mchungu unaochoma hadi mifupa, maana tumekuwa wajinga wa...
8 Reactions
24 Replies
579 Views
Bidhaa nitakazo zalisha kiwandani ni 1. Condom (bei ya jumla 500/= condom 3) 2. Mafuta ambayo unayapaka kwenye mkuyenge kabla hujamla mtoto ukishapaka unakula kavu kavu na hupati maambukizi ya HIV...
3 Reactions
7 Replies
107 Views
Always mimi ndo nawahi Nimeshamwambia sana kuhusu ila hanielewi Kama tukisema tunakutana saa 9 mtu anakuja saa kumi na nusu. Kila ukimuuliza anasema kuna foleni Kwani sisi wengine hatuna...
7 Reactions
33 Replies
389 Views
Najua kwamba kuna uwezekano mkubwa pesa zinazotumika kununua viwanja na kujenga maghorofa Kariakoo ni pesa za upigaji (pesa zenye kona kona) , lakini nimetafakari na kuona kwamba ni bora anaeiba...
12 Reactions
30 Replies
591 Views
Mtandao wa asasi za kiraia na watetetezi wa haki za binadamu Tanzania umekosoa matokeo ya ripoti zilizotolewa na tume mbili za Rais zilizoundwa kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na...
1 Reactions
2 Replies
254 Views
  • Redirect
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, leo tarehe 14 Agosti, 2026, saa 9.30 alasiri, limemkamata Wakili wa Kujitegemea, Peter Madeleka, akiwa katika eneo la Mikocheni B, Kinondoni...
0 Reactions
– Replies
– Views
Nimekutana na mzee mmoja wa enzi hizo na kunijuza kuwa waziri wa mawasiliano wakati wa utawala wa Nyerere mh. AGUSTIN MWINGIRA aliwai kuliingizia hasara taifa letu kwa mara ya kwanza tangu lipate...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
TAARIFA KWA UMMA KAMERA ZA CCTV NDANI YA TRENI ZA SGR Dar es Salaam, Agosti 06, 2026. Shirika la Reli Tanzania (TRC), linapenda kuuarifu umma kuwa Kamera za CCTV zilizofungwa ndani ya mabehewa...
3 Reactions
13 Replies
296 Views
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imetangaza kurejeshwa kwa huduma ya usafiri wa Mwendokasi kuanzia leo 06 Julai 2026! Pichani ni mabasi katika Stendi ya Kibaha! Pia soma ~ Mwendokasi imesitisha...
2 Reactions
8 Replies
181 Views
Mwanaimani Mashauri Mfinanga kikongwe(89),amefungua shauri la mirathi namba 15361/2026 katika mahakama ya wilaya ya Mwanga akipinga uhalali wa Mary Mashauri Makange kuwa msimamizi wa mirathi...
2 Reactions
3 Replies
233 Views
Umaharufu na ukubwa wa 2pac ulikoma alipokua na miaka 25 je alipata fursa akiwa na miaka mingapi?
9 Reactions
47 Replies
611 Views
📜 HISTORIA YA WACHAGA NA MAGARI CHAKAVU 🚗🌿 Kwa muda mrefu katika maeneo ya Uchagani, hasa milimani kandokando ya Mlima Kilimanjaro, kumekuwepo na tabia ya kipekee inayowatofautisha Wachaga na...
5 Reactions
9 Replies
287 Views
MKOA WA MOROGORO, WILAYA YA KILOMBERO, TARAFA YA MANG'ULA: WANANCHI WAOMBEA MSAADA KUHUSU TATIZO LA TEMBO Vijiji vingi vilivyopo katika Tarafa ya Mang'ula, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro...
2 Reactions
8 Replies
103 Views
Nakumbuka miezi kadhaa huko nyumba kuna watu waliiandikia serikali kuhusu madhara ya juice fulani za Azam kwa watumiaji, wakitoa ushahidi na hata kutumia nyaraka za Umoja wa Mataifa kuonyesha...
8 Reactions
28 Replies
499 Views
Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 kutoka Kenya amekamatwa nchini Zambia baada ya mamlaka kumhusisha na operesheni inayodaiwa kuhusisha uhalifu wa mtandaoni dhidi ya mifumo ya Serikali kuelekea...
0 Reactions
4 Replies
159 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…