Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimepita kwenye majukwaa mbalimbali, nimekutana na comment mbalimbali za watu wakitukanana matusi makubwa makubwa kisa tu wametofautiana/ kupishana kauli kidogo tu, imenichekesha nakunifanya nalia...
120 Reactions
395 Replies
19K Views
Wilaya ya Kisarawe inaendelea kujijenga kuwa kitovu cha uzalishaji wa baruti na vilipuzi nchini, kufuatia kuanzishwa kwa viwanda viwili vinavyolenga kuongeza uzalishaji wa bidhaa hizo ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana yaan kutwa nzima untembea na tembo hadi unaona kero,watu wanajiongeza wanalima bustani ili wajiajiri tembo wanakuja kula mazao yote na...
8 Reactions
92 Replies
1K Views
Ajira mpya katika kata ya Ualimu mwaka 2026 Mkoa wa Morogoro (Dc) hatujapewa pesa za kujikimu mpka sasa Na kila tukiuliza wanatupa majibu ya mkato Msaada katika tafadhari. Kwako Ofisi ya...
0 Reactions
2 Replies
92 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Pius Lutumo akifafanua kuhutu tukio la Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro kufariki Dunia muda...
0 Reactions
13 Replies
363 Views
Wakuu salamu, Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya...
26 Reactions
123 Replies
2K Views
Course gani ukisikia mtu anasomea , unajua huyo mtu anawaste time huko Cumpus ,,,,, I start Criminology 🥺🥺Yako ni ipi?
4 Reactions
10 Replies
256 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa elimu ya umuhimu wa maji na utunzaji miundombinu ya maji kwa wanafunzi wa klabu ya mazingira shule ya sekondari Chalinze...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji inaendelea kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, mradi unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Tabia ya kila basi kupakia na kushusha abiria sehemu yoyote katika Jiji la Dar es Salam imekuwa kwa kasi ya ajabu. Hivi sasa Mabasi yamezagaa katika kila mtaa yanapakia na kushusha abiria waendao...
2 Reactions
74 Replies
6K Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, hususani eneo la Ilala na...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekutana na wananchi wa Mtaa wa Tabata, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, na kutoa ufafanuzi kuhusu hatua zinazochukuliwa...
0 Reactions
1 Replies
54 Views
Je, wajua kuwa Capybara ndio mnyama rafiki kwa wanyama wengi ikiwemo crocodile (mamba), chui na simba?!.. Huyu ni rafiki mkubwa wa Anaconda na Nyegere. Pia soma... - Naomba mnieleweshe maana ya...
20 Reactions
266 Replies
134K Views
Baadhi ya wafanya biashara umeona huduma yake insta hajaweka namba kuwa clickable ili iende moja kwa moja whatsapp unacopy pembeni kisha unatuma sms hajibu chochote. unahamia whatsapp hajibu...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Anonymous
Kuna changamoto ipo Kituo cha Afya Pugu Kajiungeni Health Centre wagonjwa tunatoka nyumbani na box la delivery pack lakini bado ukiruhusiwa unaenda kulipia risiti imeandikwa delivery pack, so...
1 Reactions
12 Replies
282 Views
Mahakama ya Mwanzo Mbeya mjini imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja (miezi 12) jela Ramadhan Ludabuka (19) DJ na Mkazi wa Patamela Wilayani Chunya kwa kosa la kusambaza maudhui yasiyofaa katika...
1 Reactions
5 Replies
220 Views
Iko hv Jana Niko na fundi wangu ambe ni mtaalmu wa plaster na tiles bas nikamuuliza vip yule kijana ako yuk wapi sas hv anasoma wapi alikuja kupata chuo gani? ndio akanijibu' yule kijana ni...
4 Reactions
9 Replies
193 Views
Imeelezwa kuwa namna ya kufikisha na kufanikisha Utekelezaji wa Dira 2050 ni kuwepo na uundaji wa Kamati za Usimamizi, Ufuatiliaji na Utekelezaji kwenye ngazi zote pamoja na mkakati mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Kuwa na familia ni jambo la maana na la muhimu sana. Kuona watoto wako /wewe katika version nyingine wakikua na kufurahia maisha aise inaleta faraja sana...huku ukiwahudimia vyema kwanzia...
15 Reactions
35 Replies
421 Views
Maswali ambayo hayajaulizwa hadi sass 1. Je ramani ya mipango miji ya jiji la Dar inasemaje? 2. Je eneo la shekilango ni sahihi kuwa stand za mabus? Je matumizi yake ya asili ni yapi? 3. Je ni...
8 Reactions
31 Replies
425 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…