Huenda wewe ni mfanyabiashara,
Mwajiriwa,
Au umeniajiri,
Huwa unafanya ninibunapoona gafla mambo yamebadilika?
kipindi hicho unafanyeje usikate tamaa na uendelee kupambana?
Mimi natumia njia...
Anatomia ya kobe ni mfano bora kabisa wa jinsi ya kujilinda na kuishi katika mazingira ya nchi kavu:
Gamba lake la juu lenye umbo la kuba na gamba la chini bapa huunda ngome isiyopenyeka...
Siyo kila unapopita brother habari yako au kila siku unampgia mtu simu unamwambia nilikuwa nakusalimia kumbuka
SALAMU YA MASKINI INACHUKULIWA KAMA OMBA OMBA
Binafsi nilipo kuwa chuoni nilitokewa kupendwa na mrembo..
Actually she was a genuine lover. Ni ile aina ya pisi ambazo kila nyakati ya siku lazima ikujulie hali, yaani I was engulfed in her love...
John Glenn alikataa kuruka hadi mwanamke mmoja alipohakiki kwa mkono hesabu za kompyuta.
Jina lake lilikuwa Katherine Johnson. NASA ilikuwa tayari na mashine za kielektroniki kufikia mwaka 1962...
Anatomia ya kobe ni mfano bora kabisa wa jinsi ya kujilinda na kuishi katika mazingira ya nchi kavu:
Gamba lake la juu lenye umbo la kuba na gamba la chini bapa huunda ngome isiyopenyeka...
Tayari Civilian-Coin ameshalipia Pesa taslim kwa ajili ya gazeti la Serikali na anachosubiri ni lini Gazeti la Serikali litatangaza taarifa yake ili aende NIDA kufanya mabadiliko.
Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili ,adaiwa kuchoma moto kwa makusundi jengo la zamani la mahakama ya mwanzo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na ,kusababisha uharibifu mkubwa wa...
Habari wanajamvi.
Naomba kufahamishwa hivi kuomba ruhusa ya kazi ya serikali nikaenda kugombea Ubunge/udiwani nilipita baada ya kumaliza miaka yangu mitano naweza kurudi kwenye kazi yangu ya...
Nimefungua madai ya kulipwa mafao yangu baada ya miezi 18, nimefungua tarehe 23/4/2026. Nilipofika nikaambiwa malipo ni ndani ya mwezi mmoja tu. Baada ya hapo tarehe 1/5 nikakopa kwa riba laki 3...
Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Ibrahim Mohamed Shayo (maarufu kama Ibraline), ameishukuru na kuipongeza Serikali kwa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na utalii kati ya Urusi na Tanzania kupitia...
Sehemu ninayokaa hamna bomba kuna mtu wa nyumba ya pili alikuwa amevuta maji akawa anatuuzia maji ila baadaye akaja kuzuliwa na DAWASA DAWASA kuwa hana kibali cha kuuza maji lakini pia sisi...
Kumekuwa na ongezeko kubwa mno la wauzaji wa simu refurbished, Simu hizi ni original zimetumika marekani na ulaya, watu wa huko wakizichoka au zikiharibika kuna viwanda vimeona fursa ya...
Kwa maoni yangu tatizo linaweza kuwa kwa mteja au kwenye duka
1. MADUKA
Kuna uwezekano mkubwa ni simu used au refurbished,
Simu zenye brand kubwa kama Samsung, Google Pixel, Iphone, Samsung ni...
Habari ndugu zangu, naombeni msaada wa maoni na ushauri, eti utaratibu wa MAOMBI ya kiroho kama huduma ya matibabu unagharimu kiasi gani Cha fedha. Na je malipo Huwa ni kabla au baada ya huduma...