Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

TAG wameonesha ukomavu wa kiroho kwa kuamua kuachilia na kusamehe mali zake ambazo mahakama ilikuwa imetoa uamuzi zirejeshwe TAG. Ifahamike kuwa EAGT pia ina mgogoro na makanisa mengi tu...
2 Reactions
8 Replies
126 Views
1. "Nimeamua kujiuzuru Kwa sababu nilikuwa mkaidi dhidi ya bosi wangu, ikapelekea kunipiga pini kila upande (kisaikolojia), hatimaye nikashindwa kupumua" 2. "Nimejiuzulu ila mimi na bosi wangu ni...
0 Reactions
3 Replies
194 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja anayedaiwa kuchoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi . Kwa Mujibu wa Taarifa ya jeshi la polisi mkoani...
0 Reactions
4 Replies
142 Views
Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma Mjini. Maji yamekuwa yakipatikana zaidi nyakati za usiku na kwa kusuasua. Wakati mwingine tunakaa hadi wiki nzima bila kupata...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Unazima moto kuzuia moto usiharibu nyumba inayo waka na kuokoa mali zilizomo ndani. Tatizo walisahau nyumba ya udongo ukimwagia maji mengi inaporomoka na kuta zake zinaharibika, zinaporomoka...
1 Reactions
1 Replies
75 Views
Toka nitembelee na kuishi mikoa ya mwambao wa bahari hasa pwani, lindi na Dar.. Nimekutana na tabia mbaya sana kwa kweli, na hili hata sio la kuwalaumu watoto. Ndugu zangu sijui kwanini hata...
0 Reactions
2 Replies
99 Views
UZI: Sextortion na Ngono : Mamlaka Zimezidiwa Kasi na Hili Bomu? Wana-JF, BIASHARA YA NGONO: Gesti Zageuka Studio za WhatsApp na 'Sextortion', Nani Atanusuru Kizazi Hiki? Mbali na habari za...
4 Reactions
18 Replies
492 Views
Katika haya Maisha kuna up and down nyingi saana. Unajikuta unapata Hela lakini mwisho wa siku inapotea unaanza upya Tena na kujipa Imani utatoboa Tena. Huwa simcheki bro anaekoto makopo ili...
7 Reactions
9 Replies
164 Views
Kamisaa wa Mechi kajifanya kuwa very smart mbele ya Refarii ila kwa ile Derby yao ya mwanzo ya Oktoba 29 ambapo Refarii aliamua kuiamua mwenyewe Kimaamuzi huku Kamisaa akiwa ni Ndumilakuwili...
2 Reactions
7 Replies
171 Views
Japo upendo ni bora kuliko kila kitu ila pesa inaweza kuvunja kila kitu. Nakumbuka hata mkoani nakotoka pesa inaweza kukufanya ukawa kama mungu mtu, kila mtu unaweza kumtuma na kumkoromea. Ukiwa...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Nashindwa kutofautisha mfano mimi nataka pc au simu mtumba na sio refurb nitajuaje?
2 Reactions
3 Replies
76 Views
  • Redirect
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amemwandikia Rais Samia Suluhu Hassan, barua ya kujiuzulu wadhifa huo, miezi michache baada ya kutoa kauli mbalimbali zenye utata. Kabla ya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kusema NCHIMBI ngoma kujiuzulu? Walipwe fidia wafunguliwe ama inakaa vipi hivii wakuuu
1 Reactions
1 Replies
95 Views
Je endapo Yuda asingelimsaliti Yesu nini nini kingetokea katika mpango wa wakovu wa mwanadamu?
2 Reactions
18 Replies
141 Views
Ukiona umeajili mfanyakazi anaamka saa kumi na mbili anaoga maji baridi , linanyoosha nguo, linabrashi viatu, anapiga mswaki, lakini anasaau kujisaidia haja kubwa anakuja kujisaidia ofisini jua...
5 Reactions
32 Replies
490 Views
Tuchukulie mbuzi, huyu ana matumbo 4, haya yanamuwezesha kula na kuhifadhi chakula, ndio maana unaweza kumkuta mbuzi sehemu haina majani lakini anatafuna. Maana yake alikula majani mapema lakini...
23 Reactions
103 Replies
1K Views
Mlokua mnasubiri bei za umeme zishuke poleni... Mnaosubiri eti hiyo siku ya uzinduzi atatangaza bei ya umeme kushuka kuanzia September mosi poleni Hii habari nina uhakika nayo asilimia 100%...
8 Reactions
25 Replies
863 Views
1. ROMBO a. Wachapa kazi - bulldozer b. Wana upendo c. Wabunifu sana kimaendeleo d. Wana heshimu ndoa e. Ulevi - hadi gongo na konyagi f. Ushamba g. Hawajui kupika h. Wizi - Mnaposikia wachaga...
30 Reactions
127 Replies
7K Views
Usijisahau ukasema una marafiki wengi kazini , kuwa makini sana. #Malenga wa Kiha #Mwanasayansi Kalivubha Karibu
2 Reactions
1 Replies
82 Views
Wakuu Hawa jamaa ambao Wana resign Kwa pressure kwanini barua zao huwa zinakuwa posted Kwa private account zao!? Au official channels zinakuwa restricted!? Au wanakuwa exile wakati huo wanapotaka...
1 Reactions
0 Replies
71 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…