Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baba mtumishi Tunaomba tuwekewe watafsiri wanaojua kingenge vzuri kwenye kutafsiri kiswa kwenda kinge wasiwe wanabahatisha ama kumumunya mdomo Tunaojua kingereza pekee tunateseka sana kuwaelewa...
4 Reactions
12 Replies
136 Views
Wakuu, siku hizi imekuwa kama fashion — mwisho wa mwezi watu fulani wanajitokeza ghafla kukutafuta, si kwa sababu wanakukumbuka, bali wanatafuta namna ya kukuomba hela kwa ujanja. Utagundua mtu...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
  • Featured
KUSITISHWA KWA LESENI YA GAZETI LA MWANAHALISI KWA KIPINDI CHA MIEZI SITA (6) Idara ya Huduma za Habari (MAELEZO) inapenda kuujulisha Umma kuwa leseni ya gazeti la MwanaHALISI imesitishwa kwa...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
  • Redirect
Ila wanawake sikuizi wanapenda hela jamani. Kama una hela utakula mpaka uchoke.
15 Reactions
– Replies
– Views
Nimekuwa nikifikiria jambo moja Kama kuna maisha baada ya kifo, je, maisha hayo yanaweza kuwa na matokeo ya namna tulivyoishi hapa duniani? Kwa mfano, kama mtu alikuwa akiwaonea na kuwatesa...
0 Reactions
6 Replies
72 Views
Professor Godius Kahyarara is a Permanent Secretary in the Ministry of Transport. He is a Professor of Economics, and a distinguished alumnus and former academic at the University of Dar es Salaam...
1 Reactions
0 Replies
105 Views
Aiseee , mweny uelewa aniambie, Kipindi Cha nyuma nilikuwa cjielew. Yaan kichwa kinakuwa kizito moyo wangu hautulii nikasoma TikTok kila siku nachoma udi na naogea chumvii aisee yaan...
3 Reactions
8 Replies
201 Views
Maulidi yangu Leo hata sijaifurahia 🥲🥲
4 Reactions
12 Replies
201 Views
Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye...
5 Reactions
40 Replies
897 Views
Kuna thread iliandikwa humu jamaa yule alitabiri kifo cha rais JPM,akesema siku zinakuja nchi itaongozwa na makamu wa rais asiyechaguliwa kwenye box la kura,watu wakamuuliza ni SHS,jamaa akakataa...
4 Reactions
6 Replies
258 Views
Anonymous
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu baadhi ya wanawake kuvaa mavazi yanayoonekana kama nguo za ndani katika maeneo ya umma. Je, hali hii inaendana na kanuni na maadili ya mavazi katika jamii...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Wazee wa big deal, NAIONA hii kama fursa ya kupata mamilioni kibao, kuanda tour na kumzungusha rose muhando kufanya matamasha pesa ipo wakuu amini hilo, hot song kama nibebe, UTAMU nk zinatosha...
1 Reactions
2 Replies
100 Views
Nimeshangazwa na kauli ya nchimbi kujiuzulu umakamu wa urais.hiv wadau ni kipi kinaendelea CCM maana hatuwaelewi??
4 Reactions
6 Replies
215 Views
Anonymous
Mji mdogo wa Bomang'ombe, uliopo Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, umekuwa ukikua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo, ukuaji huu umeletwa na changamoto kubwa ya uanzishwaji wa...
2 Reactions
6 Replies
218 Views
Hawa jamaa ni week ya tatu sasa tangu niweke fingerprint pale ofisini kwao,tena ilikua kwa mbinde sana. Wao kila siku ukienda pale ofisini kwa unawakuta tu wamekaa wanapiga story za kipuuzi...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Zamani, watu wazima walikuwa wanakutana sokoni, kanisani, misikitini, au kupitia marafiki. Lakini leo, kupata mwenza kumehamia kwenye mitandao kama Tinder, Badoo, DM za Instagram, na makundi ya...
23 Reactions
140 Replies
2K Views
Nipo hapa kwa fundi viatu na-brush viatu vyangu nikasikia wadau wakipiga story kuwa, mzee wa kanda ya kati anaenda kuwa VP na yule mwana mdekaji anaenda kuwa PM. Mimi naendelea kuwasikiliza hawa...
3 Reactions
1 Replies
162 Views
Kuna umuhimu wa kufikiria watoto kabla ya watu kuamua kuzaa? Mfano kiwango cha akili cha mwenza wako na kimo.
3 Reactions
5 Replies
116 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…