ni ofisi inayohusika na ukopeshaji wa simu za smartphone..wameniomba wanipe posho kidogo wamsajilie mtu simu ya mkopo vipi mnaojua huwa kuna risk au side effect yoyote kwa namba yangu kutumika?
Je umewahi kumsikia mtu aliyepata ajali mbaya au kusimama moyo hospitalini, madaktari wakamtangaza amefariki, lakini baada ya dakika chache moyo ukaanza tena kudunda na akazinduka? Anapozinduka...
Mbunge wa Kasulu Mjini, Prof. Joyce Ndalichako, amehoji ni lini Serikali itakamilisha kazi ya kupeleka umeme katika maeneo ambayo nguzo zilichimbwa tangu mwaka 2025 lakini hadi sasa hakuna...
Hivi kuna raha hapa duniani zaidi ya kukojoa
Yaani ukute una pisi kali alafu mashine ina kilometer chache au mpya kabisa, alafu uwe unaipiga ile michezo ya mbwa
Naomba kuongezewa maarifa.
Hapa ni malimbe,sehemu inaitwa nyamalango,kwa mbele kuna migahawa ambayo wanafunzi wa SAUT na wakazi wa eneo hili hujipatia chakula chao pamoja na mahitaji mengine
Uchafu huu huachwa hovyo hovyo...
Maskini wa Roho walishangilia sana kukamatwa na kupigwa pingu kwa bilionea wa TILISHO BUS pale Mbezi Stendi.
Maskini hao hawakuishia hapo, walimzomea na kumdhihaki as if alikuwa anawanyimafedha...
Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo.
Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo...
Haya matangazo ya mavazi yake yamekuwa ya kudhalilisha sana.
Kama sisi haogopi kutukalia uchi basi awaopoge hata ndugu zake?
Baba na mama yake si hawafikiwi na hizi video za X?
Au ndio kusema...
PRIME 3RD BEACH PLOT FOR SALE 🌴🌊
📍 Location: Mbezi Beach, Kidimbwi
📏 Plot Size: 2,509 SQM
✅Fenced: with Planted Palm Trees
✅Title Deed: Ready
✅Suitable for: Apartments, Villa...
1. Myebusi siyo romantic. Huwezi mkuta Myebusi anabembeleza demu au anakuwa romantic. Yupo very strict and calm. Ila anajua sana kulea familia.
2. Myebusi hakimbii mtoto au mke. Myebusi unaweza...
Msodoku ni mwanaume rijali na ngangali hasa mwenye mfumo dume na mkakamavu. Anayejua majukumu yake ni kumlinda mwanamke.
Wanaume waliumbwa hivyo wawe Wasodoku kisha Wayebusi. Basi tu wakaja...
Mtangazaji wa Radio 47 Kenya, Captain Emmanuel Mwashumbe, ameibua maswali kuhusiana na uamuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kutangaza kujiuzulu na kustaafu siasa kuanzia...
Kama maombi kweli kweli yatatatua matatizo, basi umaskini ungeisha, magonjwa yangeponywa, rushwa ingeisha, na majanga yangezuiliwa kwa kuomba tu kwa bidii.
Lakini uhalisia haupo hivyo.
Watu...
Ukichunguza vizuri hasa Afrika wajumbe wengi ni wachumia tumbo wakipewa posho tu kwisha habari ni kupitisha tu au kupinga tu hakuna wenye uwezo wakuchakata jambo (tazama wajumbe simba na yanga...
Mimi hapa kuna kitu nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu boss wangu.
Kuna muda anaweza kukaa kimya kabisa, hata kazi ikiwa ipo, hanitafuti. Lakini akiona status yangu nimeenda sehemu fulani...
Edina Chaula (23), mkazi wa Mtaa wa Kihesa, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amekutwa amefariki dunia ndani ya chumba chake baada ya kudaiwa kukosa hewa kutokana na kupaliwa na chakula.
Kamanda wa...