Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uwanja wa Ndege wa Arusha umeboreshwa kwa kuongeza muda wa huduma hadi saa 24, kutoka kufungwa saa 12 jioni. Njia ya kuruka na kutua ndege imeongezwa kutoka km 1.64 hadi km 1.84, huku eneo la...
0 Reactions
2 Replies
72 Views
Anonymous
Huku Dodoma Mpwapwa kuna hali inayoendelea kuhusu vijana waliokuwepo mtaani wanakamatwa kwa nguvu bila kujali wanafanyabiashara au la !..halafu wanaanza kufanyishwa mazoezi ya mgambo. Wakati...
0 Reactions
1 Replies
88 Views
Wanafunzi wa UDSM hasa Engineering na Law , Tangu wanapoingia mwaka wa kwanza mpaka wanamaliza , wanakuwa wamekula kama unavyoona.
4 Reactions
21 Replies
333 Views
Kuna ushauri ambao unaweza kuonekana wa kawaida unapousikia, lakini ukiutafakari kwa kina unaweza kubadilisha kabisa namna unavyoishi. “Kijana punguza mbwembwe. Siku zote mtu mwenye ndoto kubwa...
16 Reactions
28 Replies
409 Views
Kuna mawakili ni mabingwa wa kuanzisha kesi tu na wamebobea kuzisimamia hadi mwisho uko nao wana ujanja na utaalamu wakuwakama washtaka wao iwe kwa kweli au uwongo,pia kuna mawakili ni mafundi...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Sheria inasema foreigner anaweza kupewa derivative right ya kumiliki ardhi kwaajili ya uwekezaji tu. Kuhusu swala la disposition (kuuza/kurithisha) ardhi husika Sheria ya ardhi imewaka...
0 Reactions
0 Replies
36 Views
Miaka 15 iliyopita mara baada ya kumaliza chuo jijini Dar es Saalama, kiu yangu ilikuwa ni kufanya kazi mjini kama ilivyo ndoto ya vijana wengi. Nakumbuka wakati namaliza chuo nilimwomba Mungu...
4 Reactions
3 Replies
107 Views
Anonymous
Kuna huu Mradi wa Maji katika Wilaya ya Mwanga, kuanzia Kileo hatuna maji kwa wiki ya tatu sasa. Hatujui tatizo ni nini. Mradi huu ulikamilika na upo Kilimanjaro, Wilaya ya Mwanga, Kijiji cha...
1 Reactions
3 Replies
82 Views
Anonymous
Huu ni mwaka wa pili na miezi kadhaa sasa hapa eneo la Gide, Mtaa wa Kibangu, Kata ya Makbuli, Wilaya ya Ubungo Dar es Salaam maji yamekuwa shida kubwa sana. Maji yamekuwa na wastani wa kutoka...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
  • Redirect
Habari ya kazi kaka. Mimi, kama mmoja wa wanafamilia, tunaomba msaada wa kutupazia sauti kuhusu Jeshi la Polisi Tanzania. Mkoani Tanga kuna unyama wamefanyiwa mdogo wangu kwa kutokukubali kuwa...
6 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Kuna sehemu nadhani wanawake wanakwama haiwezekani shoga akapata bwana alafu mwanamke akabaki kua msimbe au singo mama tu (wanawake pambaneni msikubali kuzidiwa kete na hao *******)
4 Reactions
– Replies
– Views
Naomba kuuliza jamani Hivi hizi familia za kitajiri amawanaojiweza kiuchumi hua wanapitia shida MFANO za magonjwa ? Au shida tu zozote za kiafya, mwanaume hadindishi, MWANAMKE hapati watoto...
10 Reactions
53 Replies
789 Views
Umeona bangili kwa masai wewe ununua tu kisha unaivaa, bangili kama hizi hazivaliwi na kila mtu bali kwa maelekezo maalumu ya mizimu ya ukoo wenu. Katika jamii zetu watu wa kasikqzini mara nyingi...
10 Reactions
94 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya amesema gharama za kupanga na kupima kiwanja kimoja katika maeneo yaliyoendelezwa zimepunguzwa hadi Shilingi 130,000, hatua...
2 Reactions
1 Replies
140 Views
Kwa miezi kadhaa nadhani ni tangu mwishoni mwa Mwaka 2025, Wananchi wengi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa wa Muheza tulipiga kelele kuhusu ukosefu wa huduma ya maji. Tatizo hilo lilitufanya tupate...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kV 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma imekamilika, hatua inayowezesha umeme wa JHPP kufika Dodoma kupitia Chalinze. Pia, SGR itapata njia yake maalum ya umeme...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Anonymous
Polisi wa Ushirombo Geita wanatabia usiku wanaenda kwenye nyumba za kulala wageni, kuanzia saa sita usiku, wanagonga ili kufanya ukaguzi, wanakamata watu Ukiwa na Kitambulisho cha NIDA...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…