Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakazi wa maeneo ya Mwenge na Mlalakuwa, Dar es Salaam, wamekuwa wakikabiliwa na changamoto za maji taka, ikiwemo kuziba kwa baadhi ya mifumo ya majitaka na maji machafu kuonekana katika maeneo ya...
2 Reactions
6 Replies
139 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea...
0 Reactions
1 Replies
47 Views
Wananchi na wanunuzi wadogo wa felo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita, tunaomba msaada wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa inayotukabili katika shughuli zetu za kila siku za...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Inasikitisha sana kwa kinachoendelea dhidi ya vijana wanaozamia South Africa kutafuta maisha huku wakiwa hawana elimu wala ujuzi wowote. Wengi wao ni kutoka wilaya ya Temeke hasa kata ya Mbagala...
8 Reactions
18 Replies
570 Views
Naomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.
10 Reactions
36 Replies
832 Views
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, amesema kuwa katika kuongeza ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam katika utoaji wa huduma, Wilaya hiyo imeandaa Kata 10 kwa ajili ya matumizi ya Bandari...
1 Reactions
8 Replies
512 Views
Ugumu wa mambo upo kwa kila mtu, Na kila mtu kwa wakati wake, Lakini, Mwitikio kwenye huo ugumu unatofautiana kati ya mtu na mtu, Na hili ndilo linaamua kujichelewesha au kupita na kushinda...
2 Reactions
13 Replies
218 Views
Hakuna kitu kinaitwa baraka za wazazi au laana ya mzazi na hakuna kitu kinaitwa karma zote hizi ni nadharia za kutiana moyo
1 Reactions
18 Replies
178 Views
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetangaza mpango wake wa kuanza kuzalisha na kuunganisha simu janja nchini chini ya chapa inayojulikana kama "Ujuzi Pro". Mkurugenzi Mkuu wa...
3 Reactions
34 Replies
517 Views
Nimefungua Quraan,at random,na aya ya kwanza niliyoiona ni hii: "Ewe Nabii! Endelea daima kwenye kumcha Mwenyezi Mungu kwa kuyafanya maamrisho Yake,na waumini wakufuate kwa kuwa wao wanahitajia...
0 Reactions
5 Replies
116 Views
Ukiona mwanaume au mwanamke ni kibonge, amejazia minyama uzembe ana kitambi/tumbo kubwa ujue anakula hovyo, hana nidhamu ya chakula na pia ni mzembe na mvivu wa kushughulisha mwili. Binadamu...
5 Reactions
19 Replies
215 Views
Anonymous
Mbele ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Chalamila, kuna kituo cha mwendokasi na ukivuka barabara kuna barabara inayoelekea Keko, Temeke na n.k. Barabara hiyo pia kuna mkunjo kwenye...
1 Reactions
10 Replies
234 Views
Kwa takribani wiki 2 mfululizo na zaidi, TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya Viwandani na husema ni DHARURA na HITILAFU, kila ifikapo Saa 12 Jioni na kurudisha umeme Saa 3 au 4 Usiku...
0 Reactions
3 Replies
574 Views
Kama una mpango wa kununua gari kupitia yard au gari zilizo nchini tayari kuwa makini sana na haya maneno mawili; 1. AFTER MVUNJOO 2. JUST ARRIVED FRESH FROM JAPAN Haya maneno mawili yanatumiwa...
4 Reactions
10 Replies
279 Views
Mama Gwajima na BASATA ndio wanahusika na hao wasanii, maadili na jinsia zao wangeshindwa wangewahusisha police moja kwa moja hadi mahakamani. ila uyo bro katambia apo ameichanganya.
1 Reactions
4 Replies
110 Views
Hapa Duniani hakuna baraka wala laana mambo yote hayana maana ni wewe ndo unayapa maana. Jambo unaloliita laana kwa mwingine ni baraka na jambo unaloona kama baraka kwa mwingine ni laana So ...
1 Reactions
8 Replies
81 Views
Kwenu Tanroads na wahusika wengine wa usalama barabarani. Taa za kuongoza magari katika makutano ya Barabara ya Kilwa na Barabara ya Kawawa zimesetiwa kimakosa. Taa hizi zinaruhusu magari yaa...
7 Reactions
27 Replies
440 Views
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, nahitaji hiyo kitu maana nategemea kusafiri ndani ya wiki tatu zijazo. Nipo hapa Morogoro. Nawezaje kuipata hiyo card, nimeambiwa ni lazima niwe nayo hiyo...
0 Reactions
36 Replies
328 Views
Muulize mzazi nini unataka kuwaachia watoto wako utakapoondoka hapa duniani. Mara nyingi majibu huwa sio mageni, nyumba, biashara, ardhi, akiba ya pesa n.k Tunatumia muda mwingi kufikiria...
6 Reactions
1 Replies
102 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…