Takwimu mpya zinashtua na kuumiza kichwa kwa pamoja: Utajiri wa Dola Trilioni 1 ($1,000,000,000,000) wa Elon Musk unaweza kuendesha bajeti zote za Tanzania, Kenya, na Uganda kwa miaka 14...
Habari, mimi ni mkazi wa Gongo la Mboto Kituo Kipya. Kuna club/bar inaitwa UBENA SPORT CLUB iliyopo karibu na reli ambayo imekuwa ikitusumbua sana sisi wakazi wa eneo hili kutokana na kelele kubwa...
KAMBI MAALUM NA MAFUNZO YA MATIBABU YA MAUMIVU YA MAGOTI NA MABEGA KUELEKEA MICHUANO YA AFCON 2027
Dar es Salaam: 07/09/2026
Uongozi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) unapenda...
Namheshimu na ni Mzee wangu kutoka Mara (Musoma) ila namuomba atulie na aachane na haya Mambo ya kupenda Kuzungumzia hali ya Siasa nchini kwani hata afanyeje au aseme nini au akosoea vipi hakuna...
Naam nina mashaka makubwa sana na hawa ndugu zetu walio toka sauzi.
Hasa wale ambao afya zao hazijaharibika sana kwa madawa ya kulevya,
Hofu yangu kubwa ni USALAMA WA RAIA na MALI ZAO,
Kuna...
Mamlaka zimetoa kanuni mpya zinazowataka watu wote wanaofanya biashara kupitia mitandao ya kijamii kuonyesha Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN), Cheti cha TIN, au Cheti cha Usafishaji wa Kodi...
Ni siku nyingi kidogo sijaingia humu jukwaani hivyo sielewi ni kipi kime happen kwenye thread yetu pendwa ya Mr. Insiderman??
Maana nashangaa kila navosachi kila ninavojua hata dalili ya thread...
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Septemba 5, 2026 imeongeza nguvu katika ulinzi na usimamizi wa rasilimali za wanyamapori baada ya askari wapya 268 kuhitimu mafunzo ya kijeshi...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesema hatokuwa kikwazo kwa wananchi kupata huduma ya maji safi na salama nchini.
Akikagua Mradi wa maji wa miji 28 katika eneo la tekeo la maji (Intake)...
Miaka zaidi ya hamsini imepita tangu kumalizika kwa Vita vya Biafra nchini Nigeria, lakini majeraha ya kipindi hicho bado yanaendelea kuishi katika kumbukumbu za manusura na familia zilizopoteza...
Mara kadhaa nikiwa kwenye Daladala nimekuwa nashuhudia watoto wakiwa kwenye Uniforms wakiwa wanatumia simu pasi na uoga wala shaka yoyote
Kwa mara ya kwanza niliona kama kitu cha ajabu...
Watu 25 wamefariki dunia, wengi wao wakiwa watoto na vijana, baada ya basi lililokuwa limebeba abiria waliokwenda katika ziara kuanguka kwenye korongo katika Kisiwa cha Fogo, nchini Cape Verde...
Habari za masiku na mda mrefu.
Nimerudi toka safari za hapa na pale.Nikaona niwajulishe kuhusu kampuni ya Meta na kesi kama mange kimambi hakifanikiwa basi mtajua mengi kuhusu serikali ya...
TAARIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1. Kuna kitu kinadumu kama mkanda wa ngozi?nakumbuka nina mkanda huo nilinunuliwa na babu yangu 2012 huwezi kuamini mpaka leo ninatumia huohuo japokuwa umechoka sasa mwaka jana mwishoni nikaona...
NIkicheki mzee alivyopokea matokeo mwaka huo 95 nagundua kwamba emotional intelligence yake iko juu sana tena kipindi hicho akiwa chalii kabisa.
HIyo video ya pili ninalivyokua akideal na...