Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna watu huwezi kuwasahau kirahisi. Jadda ni mmoja wao. Ukimletea hoja, anakupa hoja; ukijaribu kumuelezea jambo, anakuelewa na kukujibu kwa mantiki. Ni thinker wa kweli. Nimeikosa sana ile namna...
4 Reactions
7 Replies
118 Views
Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!! 1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa...
1 Reactions
7 Replies
376 Views
Kuna mgahawa ulikuwa classic sana. Ile sehemu wanafanya renovation na pamefungwa... Aisee nimejikuta napata hasira, maana msosi ulikuwa classic sana. Sasa nianze tena kutafuta mahala pengine...
4 Reactions
25 Replies
217 Views
Huku mitaani kuna watu wananunua unit za umeme takribani sh. 350 kwa unit 1, na wengine bei ipo chini zaidi kwa unit 1. TANESCO, Naomba kujua tofauti hizi za bei zinatokana na nini...
7 Reactions
62 Replies
2K Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeongeza mikakati ya kuhakikisha uimarikaji wa huduma, ikiwa ni pamoja na kuimarisha ufuatiliaji wa vyanzo vya maji, ili...
1 Reactions
3 Replies
32 Views
Naomba kuuliza hapa napata bei gani kwa pesa za kitanzabnia nimenunua surual ya mtumba ninepata hii hela
4 Reactions
17 Replies
228 Views
Mimi ni mpandaji mabasi ya Mwendokasi hasa Gerezani tu Kimara, sasa leo nilibanwa na haja ndogo nikafika dirishani nikakata tiketi nika-scan nikaingia ndani nikaona choo nikajua kwaajili abiria...
0 Reactions
4 Replies
67 Views
Tarehe 23 mwezi huu wa 8 ni Jumapili, kwa hiyo tuseme mishahara italipwa baada ya tar 23, nini kinaendelea. Je haiwezekani kulipwa ndani ya muda wa kazi kabla ya tar 23? Au ndio tuelewe pesa za...
12 Reactions
41 Replies
731 Views
Mwanasiasa wa Afrika Kusini na aliyekuwa msemaji wa chama cha EFF, Dkt. Mbuyiseni Ndlozi, ametoa kauli nzito dhidi ya viongozi wa ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC), akipigania misingi ya...
7 Reactions
16 Replies
189 Views
Dodoma kituo kikuu nanenane ila abilia 80% wapo CBE,machame,mnada mpya,iringa road. DAR kutuo kikuu mbez magufuli ila 70% abilia wapo kalibu na shekilango,mbagala nk.IRINGA kituo kikuu ni igumbilo...
3 Reactions
28 Replies
282 Views
Kuna ubovu wa miundombinu ya Shule ya Msingi Rugu iliyopo Kata ya Rugu, Tarafa Nyaishozi, Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera, hii shule ni kongwe ila uchakavu wa miundombinu unatisha...
0 Reactions
2 Replies
180 Views
Hapo ni TAZARA ya Dar kero kubwa ni watu kutosafiri kwa wakati, Watu hufika Kituoni hapo wakiwa wanatokea sehemu mbalimbali wakifika hapo wanakuta tangazo la kubandika kuwa safari imeahirishwa...
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Imekuwa utamaduni wa mabasi ya Tabora Mbeya hasa Sesabosa Bus inajaza abiria, wakati huohuo Askari wa Usalama Barabarani wanafumbbia macho, je mwenye kosa ni nani?
0 Reactions
3 Replies
48 Views
Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya...
6 Reactions
65 Replies
824 Views
Kwanini hatuhisi kama Dunia inazunguka kasi ya maelfu ya kilomita kwa saa?
2 Reactions
20 Replies
151 Views
Salaam! Ni kweli,hii ni ndoto ya Mwalimu Nyerere iliyobadilishwa kuwa uhalisia na Rais wa awamu ya tano ndugu JPM ambaye alimwachia kiti chake Daktari Samia Suluhu Hassan Ajabu katika Kila...
2 Reactions
20 Replies
372 Views
Wananchi Wilayani Karagwe hususani Kijiji cha Bukabara wanateseka sana na maji jamani, yaani mfano kipindi cha kiangazi kuanzia mwezi May mpaka August kusema ukweli ukiona namna watoto na wanawake...
1 Reactions
2 Replies
41 Views
Habari za muda huu wakuu, Naomba kuwasilisha mada hii kwenu ili kupata uzoefu au taarifa za kina kama kuna mtu yeyote humu ndani alishawahi kufanya kazi na kampuni inayoitwa Fine Modern Homes...
3 Reactions
15 Replies
148 Views
Hapa ni Julius Nyerere Hydro Power Plant, yaani Kilipo Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere MW 2,115 ambapo uzinduzi wa kituo hiki utafanywa rasmi leo Agosti 22, 2026 na Rais wa Jamhuri ya...
1 Reactions
3 Replies
231 Views
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa leo Juni 10, 2026 akiwa Bungeni amesema "Ushiriki wa Wanaukerewe katika shughuli hizi [Uvuvi] itategemeana na upatikanaji wa mitaji...
2 Reactions
2 Replies
86 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…