Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya wahuthi kupiga hadi mecca , sasa saudi ameona hii ni zaidi ya dharau, lakini saudi anajua hawezi enda kichwa kichwa maana wahuthi ni proxy ya iran na labda pia ina fadhaliwa na syndicate...
3 Reactions
10 Replies
158 Views
Bunge la umoja wa ulaya kupitia kamati yake inayoshughurikia utoaji wa tuzo kwa watu mbalimbali duniani wanaopigania demokrasia,utawala bora na haki za binadamu,imeorodhesha jina la TUNDU LISU...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Kuna kauli moja inasema hivi, Wajinga hawachukii elimu yenyewe, bali humchukia mtu anayewafanya waone jinsi walivyo na upungufu wa maarifa. Hivi karibuni kuwekuwa na hali ya watu...
6 Reactions
32 Replies
301 Views
Uyu bro hata akishawishika watu wengi tutaamini jamii ya kabila lake kua ni jepesi sana kufuata fulsa ya fweza then ataunganishwa na tabia binafsi na pia kama atamudu kukaza angalau ataonekana...
1 Reactions
0 Replies
24 Views
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Paternus Niyegira, amesema kuwa wananchi ndio wenye mamlaka kuu ya kuwawajibisha viongozi kwa sababu wao ndio waliowapa mamlaka hayo kupitia mkataba wa kijamii na...
1 Reactions
0 Replies
72 Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wananchi, baada ya kubaini malalamiko ya kupanda kwa bei ya...
0 Reactions
24 Replies
472 Views
Bodi ya Filamu Tanzania imewakumbusha wamiliki wa Maktaba za Video (Video Library) nchini kuhakikisha wanasajili biashara zao na kuhuisha leseni zao kwa mujibu wa sheria na kanuni za filamu...
2 Reactions
5 Replies
172 Views
Leo, tumetuma kontena lingine kutoka Malawi🇲🇼 hadi Ulaya. Limejaa vikapu vyetu vilivyotengenezwa kwa mikono, viti na vipande vingine vilivyotengenezwa na Akhada Baskets. Kila wakati tunapakia...
1 Reactions
0 Replies
34 Views
Bwana Yesu Asifiwe. Tusifike mbali maisha ya machimbo ya dhahabu yasikie tu kwa jirani kama unampenda mtoto wako huwezi ruhusu akatafute maisha machimbo sisemi kwamba watu wasiende ila naandika...
68 Reactions
240 Replies
30K Views
Kwema wakuu, kwa walio maeneo ya Rombo tarakea maeneo ya huku mpakani kuna ndege ndogo aina ya Cessna grand caravan naona inazunguka tu kuanzia asubuhi ya leo.sasa sijui inafanya patrol au...
9 Reactions
61 Replies
7K Views
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mzee Azaveli Lwaitama, amebainisha kuwa hasira za wananchi na madai ya Katiba Mpya nchini zinachochewa na hulka ya asili...
1 Reactions
1 Replies
54 Views
Ulifanya ACSEE ukapita vizuri. Maths ukapata A😎 Kwa sababu wewe na hesabu mlikuwa kama mapacha waliozaliwa siku moja, ukaamua kuingia university uchukue Statistics, Pure Mathematics na kila course...
16 Reactions
110 Replies
1K Views
Wakuu kwema… Tuwape elimu ndogo vijana wa sasa kuhusu namna baadhi ya huduma zamani ilibidi upange foleni kwa kufika ofisi husika ili uhudumiwe. 1. Luku Ili upate huduma ya kununua umeme (luku)...
16 Reactions
75 Replies
2K Views
Enyi wakaidi, mrudishieni Mbowe Chama chake Msidhani aliokota CHADEMA chini ya mwembe Mtachagua moja kurudisha au kuendelea kusalitiwa Maafa yanayowapata sio ya kutengenezewa bali ni laana na...
3 Reactions
13 Replies
222 Views
Kitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu . Sasa imefika hatua mtu...
30 Reactions
156 Replies
1K Views
Watanzania wamebobea kutembea na saikolojia ya kuua Taasisi mbalimbali? Ukiwa kama mtanzania mzalendo Toa mbinu na mikakati ya kuua chama cha CHADEMA kama Watanzania walivyoua VIWANDA... Lengo...
2 Reactions
27 Replies
273 Views
8 Reactions
98 Replies
3K Views
Mabadiliko ya hali ya hewa na msimu wa mvua kubwa unaweza kuleta changamoto nyingi kama vile mafuriko, upepo mkali, na kukatika kwa umeme. Ili kulinda familia, mali, na afya yako, ni muhimu...
3 Reactions
11 Replies
348 Views
Macho ni jicho la roho, macho huongea mengi macho hutoa taswira fulani ya kitu iwe furaha ghadhabu uchungu nk...! Zile ishara za usoni kwa asilimia 80 hubebwa na macho zingine Zikiwa ni mdomo na...
22 Reactions
107 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…