Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu walimu wenzangu na wanufaika wote waliosomeshwa kwa fedha ya serikali yaani BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU (HESLB),,, Juzi Jumatatu tarehe 28.12.2020 niliomba LOAN STATEMENT ya deni langu...
31 Reactions
172 Replies
31K Views
Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali. Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa...
6 Reactions
77 Replies
6K Views
Kuna jamaa moja anaitwa felix alton huwa anacheza mziki mzuri wa country n soul siku za jumapili ila natafuta simpati Ni muda sikwepo Nimetune redio zote sijapata Atakuwa redio gani huyu...
1 Reactions
5 Replies
614 Views
  • Poll Poll
Wakuu ebu tulinganishe haya majiji mawili. Najua Dar level yake ni miji kama Nairobi au Adis Ababa. Kuna watu wanaamini Kigali is better than Dar. MAENEO YA KULINGANISHA BIG PROJECTS BARABARA...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Bajeti Kuu ya Serikali ya Tanzania mwaka wa fedha 2024/25 Jumla ya bajeti ya viburudisho, tafrija na kubadilisha samani (furniture) ofisi na nyumba za DCs, RCs, Mawaziri katika Serikali ni TZS 1.9...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Wakati wa utoto wetu kila mmoja akiulizwa una malengo ya kuwa nani basi atajibu mwalimu,daktari au mtu fulani. Malengo yale ni upuuzi mtupu na wala hatutakiwi kuyazingatia kwa sababu malengo yale...
3 Reactions
5 Replies
526 Views
Nimekuwa na tatizo kidogo kuhusiana na mfumo wa ajira portal ie online application. Hapo wameweka namba za msaada kama ukihitaji kuwapigia. Lakini hizi namba huwa aidha hazipatikani kabisa au...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Kuna mda inabidi ujiulize sana ili swali sababu ni nchi yangu imepewa kila kitu lakini na hakuna kitu kama tunavoona geita na dhahabu. Kuna nchi wale wasanii waliokwenda kule kutuletea ajenda yao...
2 Reactions
4 Replies
538 Views
Wazaramo na wandengereko sasa wamefikiwa, mambo ya kula vitoto vya miaka 12 sasa basi ! Ila bwana DC Magoti kuna swali huku, ni utamaduni wa Wazaramo na wandengereko msichana akifika miaka...
4 Reactions
96 Replies
6K Views
Hivi ni kweli Utafiti ulifanyika kweli ikaonekana mstaafu ukimpa hela yake yote atakufa mapema kuliko kikokotoo.. Nachoona kwa sasa wenye kikokotoo ndo wapo kwenye risk kubwa ya kufa kuliko...
1 Reactions
3 Replies
423 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.. 1. Nini wazingatie wanaotaka kununua gari kwa mara ya kwanza?? 2. "Share experience" yako kuhusu kumiliki gari
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Sisi wote binadamu Tubadilishane uzoefu mambo yafuatayo yanachukua watu zetu easy 1. Ajali, za magari, mitambo, umeme, gas,moto. 2. Pressure hio ndo zaidi 3. Mahoma homa ya maini na figo yamekuwa...
13 Reactions
41 Replies
12K Views
Hatua za kufa au kufariki Kila kiumbe kitakufa. Mwanadamu naye atakufa. Kila kiumbe kina hatua yake ya mwisho na ndipo kinafikia kukufa. Hakuna dawa ya kutokufa. Ila zipo njia za kupunguza...
2 Reactions
1 Replies
741 Views
Ndugu wanajukwaa, leo familia ya Manji wamehitimisha msiba wa mpendwa wetu Yusuph Manji uliotokea Jumamosi ya wiki iliyopita kwa Dua maalumu iliyosomwa na viongozi mbalimbali wa kidini wakiongozwa...
28 Reactions
140 Replies
8K Views
Nyama choma ya kuku na ng'ombe zimekuwa biashara iliyoshamiri hasa katika vituo mbalimbali vya daladala hasa jijini Dodoma na Dar es Salaam yaan mtu yeyote anaweka meza njiani na ndoo ndogo...
0 Reactions
2 Replies
419 Views
Serikali ya Dr.Samia imetangaza Zabuni za Kimataifa Kwa Ajili ya kuanza Ujenzi wa Standi Kuu za Mikuu yaani Regional Bus Terminals Kwa Mbeya na Arusha sanjali na Standi ya Mkoa ya Tabora,Geita na...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Kama kuna utumwa wa akili unaoingia watu kwa Kasi siku hizi, basi ni hizi Imani kwa manabii; ✓ Unapofika utapigwa neno (na Ukweli ni kwamba sio neno la Mungu kwa kumaanisha, Bali ni promo tu)...
16 Reactions
56 Replies
3K Views
Sanamu ya Askari bado tunayo licha ya ujenzi wa njia ya mwendokasi unaondelea Posta barabara ya Azikiwe Maamuzi mazuri maendeleo yasifanye tukapoteza utambulisho wa Bongo Dar es salaam wengi...
2 Reactions
7 Replies
548 Views
Habari zenu, kwenye picha hapo chini ni Jiwe nimeliokota ila silijui aina yake kama unajua chochote kuhusu basi nifahamisheni.
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo "Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom