Kuaharisha na kuugua matumbo limeshakuwa ni janga. Kulingana na mazingira ya kazi na umbali, inakuwa ni vigumu kurudi nyumbani ukale kisha uendelee na kazi.
Baadhi ya migahawa imekuwa ni janga...
Nimeshuhudia sehemu nyingi za kuuza vyakula au vinywaji wakiwa hawazingatii kabisa kanuni za usafi, na sio kwa sababu wanafanya makusudi bali kwa sababu ya uelewa mdogo.
Haya ndiyo niliyoshudia...
Habarini wanajukwaa,
Jamani naomba kufahamu kuhusu hii mitandao ya smu. Nimekuwa nikiweka Salio katika mtandao X mfululizo,
jana asubuhi nimeweka salio kwa rusha nikaunga vizuri, jioni wakati...
Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa Treni ya Kisasa (SGR) haitakuwa na tatizo la umeme, kwa sababu mabehewa yatakuwa na uwezo wa kuhifadhi umeme wa ziada kwa saa moja hadi mbili.
Waziri wa...
Hapa twende taratibu.
Niwaulize kwa nini Rwanda wamefanikiwa kwenye hicho kipengele? Yaani unakuta mama ntilie msafi hata kama bibi kizee unavutiwa kula chakula kwake maana kwanza ni wasafi...
Najua wengi hamuwezi amini lakini kuna utafiti nimeufanya kwa wale tuliomaliza kidato cha nne kuanzia mwaka 2010 kushuka chini ambapo kipindi hicho mtu ukipata division one au two form four...
Hongeni muwezavyo na Rogeni muwezavyo ila Nguvu ya Mitandao haijawahi Kushindwa na Wapuuzi Duniani.
Tofauti yenu na huyu Kiboko ya Wachawi mi ndogo sana ila nyote tu mnaogelea Bahari moja...
Ukweli ni kwamba mazingira yetu ya kazi hasa katika sekta ya Umma hayapo sawa.
Unakuta baadhi ya sehemu waajiriwa wake wanafika kazini ila hawajui wanafanya nini siku hiyo. Sasa kazi ni kupiga...
Kwa nini unaogopa kujaribu? Nini shida Kijana? Jaribu kufanya Chochote kizuri kitakachokusaidia wewe. Usitegemee mtu.
Maisha ya sasa hivi ni wewe mwenyewe na wala usimlaumu mtu.
Kama umekosea...
Nafahamu kuwa kila mtu ana malengo yake.
Lakini watu wengi wameshindwa kutimiza malengo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kusubiri kusaidiwa ama kushikwa mkono na watu.
Hata Serikali...
Hapa kazini nimekutana na binti Wa kisabato.Nimekua nae karibu sana na ananiheshimu sana kikazi lakin pia kimahusiano ya kawaida.
Ni binti mwenye maadili ya hali ya juu, kutokana na mazoea...
Miongoni mwa changamoto nyingi zinazowakumba watumishi wa serikali ni mikopo almaarufu kama Kausha damu, ambapo inasemekana kua mikopo hiyo imekua changamoto kubwa sana kwa wafanyakazi wa serikali...
Kufuatia mdahalo wa wagombea nafasi ya Rais wa TLS, matokeo ya utafiti yanaonyesha kwamba Sweetbert Nkuba amewashinda washiriki wenzake kwa kujibu kwa ufanisi maswali yafuatayo:
1. Sera na...
Baada ya JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui mnamo Mei 2024 kuwa Serikali haijawalipa malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Mradi...
Mawakili na Wanasheria wa Chama cha wanasheria wa Tanganyika Law Society (TLS) wanajiandaa na Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni, wamesema wanataka kiongozi ambaye atawaunganisha na...
Au mnasemaje wanabodi ili tuingize vitu vipyaaa na tusalimishe mazingira na afya.
Katika kulinganisha viwango vya ushuru vya magari yaliyotumika na nchi nyingine, tunaona tofauti kubwa. Kwa...
KOREA KASKAZINI - Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ameshiriki misheni ya kuokoa zaidi ya watu 5,000 waliokumbwa na mafuriko kaskazini-magharibi mwa Korea Kaskazini, vyombo vya habari vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.