Ni kwanini watu waliopata daraja la 3 na 4 sekondari wana mafanikio katika maisha kuliko wale wenye 1 na 2

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Najua wengi hamuwezi amini lakini kuna utafiti nimeufanya kwa wale tuliomaliza kidato cha nne kuanzia mwaka 2010 kushuka chini ambapo kipindi hicho mtu ukipata division one au two form four ulikuwa unaheshimika mtaani na ilikuwa ni heshima sana kwa ndugu na majamaa.

Lakini kwa wale waliopata division 3 au 4 wengi walikuwa wanadhalaulika, wanaonekana wamefeli shuleni lakini pia divion 3 na 4 waliofeli, kipindi hicho wazazi ambao watoto wao walionekana watoto wao kufanya vibaya walionekana watoto wao hawana akili kuliko wale watoto zao waliopata divion one waliheshimika mnoo.

Lakini baada ya miaka mingi kupita tukija katika level ya maendeleo na mafanikio serious wengi waliopata division 4 na 3 ndo wenye maendeleo na mafanikio katika maisha siku na ndio wengi kwa sasa wameajiriwa serikalini, sekta binafsi, wafanyabiashara kubwa kubwa ndo hao mafanikio yao tofauti na wenye div 2 na 1

Je, ni kwanini iwee hivyoo wenye akili za kawaida wafanikiwe kuliko wenye akili nyingi.
 
japo kwa sasa inaonekana sio hivyo kivilee vijana kama wamekata tamaa wengi wanaishia kwenye bodaboda na maisha ya starehe zaidi.
 
Najua wengi hamuwezi amini lakini kuna utafiti nimeufanya kwa wale tuliomaliza kidato cha nne kuanzia mwaka 2010 kushuka chini ambapo kipindi hicho mtu ukipata division one au two form four ulikuwa unaheshimika mtaani na ilikuwa ni heshima sana kwa ndugu na majamaa.

Lakini kwa wale waliopata division 3 au 4 wengi walikuwa wanadhalaulika, wanaonekana wamefeli shuleni lakini pia divion 3 na 4 waliofeli, kipindi hicho wazazi ambao watoto wao walionekana watoto wao kufanya vibaya walionekana watoto wao hawana akili kuliko wale watoto zao waliopata divion one waliheshimika mnoo

Lakini baada ya miaka mingi kupita tukija katika level ya maendeleo na mafanikio serious wengi waliopata division 4 na 3 ndo wenye maendeleo na mafanikio katika maisha siku na ndio wengi kwa sasa wameajiriwa serikalini, sekta binafsi, wafanyabiashara kubwa kubwa ndo hao mafanikio yao tofauti na wenye div 2 na 1

Je ni kwanini iwee hivyoo wenye akili za kawaida wafanikiwe kuliko wenye akili nyingi
Jifariji tu lakini hauna lolote na IV yako.
 
Nadhibitisha kwa hoja yako kua nikweli kwa wale tuliomaliza elimu ya sekondari chini ya miaka ya 2010 kushuka hadi enzi hizo za uhuru tuko vizuri sana.
Ni zaidi ya D1 ya miaka hii.
 
Najua wengi hamuwezi amini lakini kuna utafiti nimeufanya kwa wale tuliomaliza kidato cha nne kuanzia mwaka 2010 kushuka chini ambapo kipindi hicho mtu ukipata division one au two form four ulikuwa unaheshimika mtaani na ilikuwa ni heshima sana kwa ndugu na majamaa.

Lakini kwa wale waliopata division 3 au 4 wengi walikuwa wanadhalaulika, wanaonekana wamefeli shuleni lakini pia divion 3 na 4 waliofeli, kipindi hicho wazazi ambao watoto wao walionekana watoto wao kufanya vibaya walionekana watoto wao hawana akili kuliko wale watoto zao waliopata divion one waliheshimika mnoo

Lakini baada ya miaka mingi kupita tukija katika level ya maendeleo na mafanikio serious wengi waliopata division 4 na 3 ndo wenye maendeleo na mafanikio katika maisha siku na ndio wengi kwa sasa wameajiriwa serikalini, sekta binafsi, wafanyabiashara kubwa kubwa ndo hao mafanikio yao tofauti na wenye div 2 na 1

Je ni kwanini iwee hivyoo wenye akili za kawaida wafanikiwe kuliko wenye akili nyingi
Akil ya shule 0'level sio mafanikio maishani, endlea kusoma miaka 8 baada ya form 4 Mimi hasira naziamishia kwenye pesa .
 
Mtu aliyekuwa kilaza darasani ni rahisi Sana kufanikiwa kwasababu huyu anakuwa hana aibu kuwa watu watanionaje nafanya kazi hii na ni rahisi Sana kupata marafiki kwasababu anajichanganya na watu.

Ni heri kusoma kwa wastani na ukawa unaingiza kichwani mambo mengi kuliko kusoma sana kwa Concentrate vitu vichache ambavyo havikusaidii.
 
Jifariji tu lakini hauna lolote na IV yako.
Kiongozi mimi sikupata form ila O LEVEL nilikuwa nina division 2 na best friend wangu alipata division 4.

Lakini kipindi naenda form five yeye aliendaga chuo cha KODI ITA pale mwenge mimi namaliza form six najianda kwenda chuo kusoma mwenzangu tayali alikuwa kamaliza diploma ya tax na ameshapata ajira TRA .

mimi nipo chuo mwaka wa pili mwenzangu kwa kupitia kazi yake alikuwa ameshajenga, ana nyumba, ana gali mimi namaliza chuo sina kazi nipo mtaani mwenzangu ameshajenga nyumba ya pili baada ya ile ya kwanza sasa hivi jamaa anajiendeleza anasomeshwa na TRA saivi yupo masters akimaliza akirudi kazini anapanda cheo zaidi.

Mimi bado napiga kazi kwa makampuni ya wahindi mshahara wenyewe ndo hivyo wapo wenzangu wengine walipata diviosion one six na form four hadi chuo wamemaliza wana GPA nzuli lakini bado hawajaajiliwa miaka minne bado wanatafuta kazi,wengine ndo wamejiajiri na biashara ndogo ndogo lakini yule mwenzetu ndo katoboaa hadi kusema umesoma nae unaona aibu.

Maisha jamani haya sina cha kusema tuu mi mwenzenu
Haki ya
 
Siwezi kumpinga wala kukubalina na mtoa mada, ila naona ni vema tukajikumbusha, kuwa maisha yetu sisi binadamu ni FUMBO. Mtu kufaulu au kufeli katika masomo yake, katika ngazi yoyote ile ya elimu, haina maana ndio tafsiri ya maisha, atakayoishi hapa duniani.

"KILA MTU, KAZALIWA NA KIGANJA CHAKE...."
 
KUPATA D
Najua wengi hamuwezi amini lakini kuna utafiti nimeufanya kwa wale tuliomaliza kidato cha nne kuanzia mwaka 2010 kushuka chini ambapo kipindi hicho mtu ukipata division one au two form four ulikuwa unaheshimika mtaani na ilikuwa ni heshima sana kwa ndugu na majamaa.

Lakini kwa wale waliopata division 3 au 4 wengi walikuwa wanadhalaulika, wanaonekana wamefeli shuleni lakini pia divion 3 na 4 waliofeli, kipindi hicho wazazi ambao watoto wao walionekana watoto wao kufanya vibaya walionekana watoto wao hawana akili kuliko wale watoto zao waliopata divion one waliheshimika mnoo

Lakini baada ya miaka mingi kupita tukija katika level ya maendeleo na mafanikio serious wengi waliopata division 4 na 3 ndo wenye maendeleo na mafanikio katika maisha siku na ndio wengi kwa sasa wameajiriwa serikalini, sekta binafsi, wafanyabiashara kubwa kubwa ndo hao mafanikio yao tofauti na wenye div 2 na 1

Je ni kwanini iwee hivyoo wenye akili za kawaida wafanikiwe kuliko wenye akili nyingi
MKUU KUPATA DIV 3 AU 4 SIYO KWAMBA MTU ANA AKILI ZA KAWAIDA WENGINE MATATIZO NA STRESS TUU ZINASABABISHA
 
Hivi wewe mpaka mtu ajue umemaliza kidato cha 4 na umepata div fulani inatokeaje kama sio maringo ya kijinga? Kuwa tu mtaani umefeli. Waliofaulu wanatinga vyuo. Tutawaona tu.
 
Kiongozi mimi sikupata form ila O LEVEL nilikuwa nina division 2 na best friend wangu alipata division 4.

Lakini kipindi naenda form five yeye aliendaga chuo cha KODI ITA pale mwenge mimi namaliza form six najianda kwenda chuo kusoma mwenzangu tayali alikuwa kamaliza diploma ya tax na ameshapata ajira TRA .

mimi nipo chuo mwaka wa pili mwenzangu kwa kupitia kazi yake alikuwa ameshajenga, ana nyumba, ana gali mimi namaliza chuo sina kazi nipo mtaani mwenzangu ameshajenga nyumba ya pili baada ya ile ya kwanza sasa hivi jamaa anajiendeleza anasomeshwa na TRA saivi yupo masters akimaliza akirudi kazini anapanda cheo zaidi.

Mimi bado napiga kazi kwa makampuni ya wahindi mshahara wenyewe ndo hivyo wapo wenzangu wengine walipata diviosion one six na form four hadi chuo wamemaliza wana GPA nzuli lakini bado hawajaajiliwa miaka minne bado wanatafuta kazi,wengine ndo wamejiajiri na biashara ndogo ndogo lakini yule mwenzetu ndo katoboaa hadi kusema umesoma nae unaona aibu.

Maisha jamani haya sina cha kusema tuu mi mwenzenu
Haki ya
Mkuu ukifanya kazi kwenye hiyo taasisi ya rafiki yako lazima uwe na maisha mazuri.
 
wa dv 4 alenda police au jeshini na wengine walimu so now wana maisha ila wale waliokafaulu sana wamekanyaga chuo lakini hawana ajira lazima muwatukane tu ila ipo siku watakuzidi
 
Back
Top Bottom