Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Apple yatambulisha iPhone 18 Pro. Apple imesema iPhone 18 Pro na Pro Max mpya zina mfumo bora zaidi wa kamera, maisha marefu zaidi ya betri na utendaji wenye nguvu zaidi kuwahi kutolewa kwenye...
3 Reactions
14 Replies
290 Views
Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk. Imenisikitisha sana. Japo watu wanasema...
19 Reactions
35 Replies
542 Views
DJ Choka, ambaye ni mmoja wa ma-DJ wa zamani na nguli katika historia ya muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, anaandika; "NAOMBENI MNIPE USHAURI KWENYE HILI LEO 1. Kwenye MFUKO wangu nina...
7 Reactions
74 Replies
1K Views
Native ni nini ? "Native" inamaanisha kwamba programu imeundwa kwa ajili ya kufanya kazi kwenye mfumo maalum wa uendeshaji wa kifaa, kama vile Android au iOS, na hutumia lugha na zana za...
2 Reactions
2 Replies
260 Views
Kama Picha inavyojielezea hapo nchini
3 Reactions
11 Replies
140 Views
Wenye timu yao wanalalamika ubora wa jezi,hualali wa mikataba wa uzabuni na hata kipindi timu ikipataga USHINDI hua tunaona anaeyepewa sifa kwa uwekezaji ni kiongozi wa nchi na sio wananchi...
1 Reactions
9 Replies
223 Views
Week kadhaa sasa nmekuwa nikisoma post za kijana mmoja anaitwa Deogratius Kisandu. Nimekuwa nikisoma kwa umakini na kwa kina kila anachoandika. Nimegundua ana tatizo kubwa sana kisaikolojia na...
4 Reactions
114 Replies
14K Views
Huyu demu alikuwa mke wa Madebe. Juzi alipost picha zake za zamani, watu wakamuonea huruma wakisema maisha aliyokuwa anaishi kipindi hicho yalikuwa yamemchosha sana. Cha kushangaza, yeye mwenyewe...
8 Reactions
89 Replies
1K Views
Asee , nipo moshi juzi kati tu akataka kunichoma kindezi , na nikafuatiliwa . Sikujua nilifanya nini , ila huyo mpumbavu alipwe tena na agawe hizo namba nikamatwe tena kummmke.
28 Reactions
155 Replies
2K Views
Wadau shikamooni.........Nadhani hii dhana ya kujitambua siyo ngeni kwako. Kujitambua ni uwezo wa mtu kujielewa kwa undani, ikiwa ni pamoja na kutambua tabia zake, uwezo, udhaifu, hisia, maadili...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwenu wanajamvi! Dunia inamambo mengi na binadamu tunapitia furaha na changamoto kadha wa kadha hapa unaweza kuweka/ kutuambia ni jambo gani ambalo Mungu alikupitisha ili kukupa nguvu ya imani na...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Nimepata ndinga mpya nataka nipige hizi ngoma za fally ipupa sababu nimeshajipata naombeni mnitajie zile Kali ambazo nikipiga kwenye ndinga yangu nitajiona Nipo dunia ya peke yangu bosi ya mboka...
4 Reactions
14 Replies
265 Views
Kwema wanajamvi...Mashabiki na wasikilizaji wa radio Shama tukutane hapa kila mtu aseme kipindi chake akipendacho na nyimbo anazozihusudu zinazopigwa na kituo hichi cha radio. Kwangu nawaomba...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka Wananchi kuwa na uchungu na fedha zao kwa kuzitunza na kuhakikisha zinabaki katika hali nzuri ili ziendelee kutumika kwa muda mrefu. ‎ ‎Wito huo umetolewa leo...
1 Reactions
7 Replies
175 Views
Wakuu mpo good Leo asubuhi nimeamka nikiwa nimechelewa kwenda kazini. Nikatoka nje kwa haraka, nikakutana na boda mmoja nikamsimamisha. Nikamuuliza, “Mwanangu, nataka kwenda sehemu fulani, mpaka...
4 Reactions
4 Replies
135 Views
🏃🏽‍♂️JISAJILI SASA Moi Marathon – MOI MARATHON 2026🏃🏽‍♀️ Ungana nasi kuadhimisha Miaka 30 ya MOI na kuchangia matibabu ya watoto 200 wenye kichwa kikubwa na mgongo wazi. 📅 Tarehe: 25 Oktoba...
0 Reactions
8 Replies
79 Views
Unadhani una mbio sana? Kuna wanyama ukikutana nao hifadhini, mwonekano wao unaweza kukudanganya kabisa, wanaonekana wazito, watulivu na wa mwendo wa pole… lakini ukijua uwezo wao wa kukimbia...
10 Reactions
12 Replies
355 Views
Kuna black beut wazuri mno , ila sio kila black ni mzuri🤔 Kumekua na tafrani bara letu la afrika kuhusu black is beut😁 Hadi lingumbaru lenye rangi yake ya kenge nalo unakuta linadai...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Anonymous (d932)
Mimi ni Mhitimu wa Diploma ya Pharmacy Muhimbili College of Health and Allied Sciences, nimehitimu mwaka 2023. Nimesoma O-level nina Division 1 ya 14, A-level nina Div 2 ya 12. PCB baada ya kuwa...
4 Reactions
14 Replies
579 Views
Nimeigusa nikaona haikidhi vigezo vya TBS na jamhuri ya muungani nikampa NAULI asepe. Am black america aiseee
2 Reactions
0 Replies
46 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…