Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,005
- 19,370
Hivi ndivyo TANESCO wanavyotoa ajira kwa Upendeleo na kujiana.
Hili ni shirika la Umma lakini linatoa mianya ya Upendeleo wakayi wa recruitment. Jambo hili husabisha vijana wenye sifa kukosa kazi huku vijana wasio na sifa kupata kazi, jambo linalipelekea Huduma mbovu na performance ndogo ya shirika la Umeme.
Hili group niliingia accidentally nikakuta matangazo ya nafasi za kazi yanatangazwa kabla ya terehe ya kuwekwa public. Inamaana sisi wengine tukija kuliona tangazo la TANESCO tarehe 25, tutaliona ni jipya kumbe wameshajaza watu wao.
Miaka ya nyuma Kipindi nasoma chuo, niliona wanafunzi waliokosa mkopo wa HESLB wakiorodheshwa majina kwa usiri ili yatumwe bodi ya mikopo kwani kuna mtu huko anawapa connection.
Mianya ya rushwa ya fedha na ya ngono hutengenezwa kwa njia hizi hizi. Wahusika fuatilieni uhalisia wa Hilo tangazo ili kama ni kweli mtumishi wa TANESCO anahusika mjue cha kufanya.