Kariakoo kuna Majini

Kariakoo kuna Majini

Sasa kwa nature ya biashara ya kkoo kuna watu wana move hela nyingi sana kwa siku...hayo matukio yangekuepo tungeyasikia hadi ITV
 
Yale makontena unayaona ni hela za Kkoo na hakuna anaeibiwa akipeleka hela Bank wala kubadili usd wanaoibiwa ni wale wageni kila mara yupo kwenye mfuko wa hela mpaka wapigaji wanastuka..
 
Ingawa post #1 na yenyewe haina "contents" imekaa kijinni jinni tu.

Kwa kukujuza tu. Majinni yapoo kila sehemu, lakini ni kweli kabisa, Kariakoo yapo majinni. Tena Kariakoo yapo majinni aina nyingi tu.

Kuna majinni ya asili yanayoishi maeneo ya Kariakoo, kuna majinni ya kichawi yanayokuja na kuondoka. Pia kuna watu wenye majinni wa kila aina.

Licha ya majinni, kiuna Mashetani wengi sana wa kijinni na kibinadam.
 
Back
Top Bottom