Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika usaili wa kazi kunakuwaga na maswali ya mtego sana. Mfano ndio umeulizwa hivyo sasa unawajibu vipi ili usikose hiyo kazi?
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno hafifu kwa kile wanachodai mvua kukata mapema mwaka huu. Baadhi ya wakulima kutoka katika mikoa ya kilimanjaro ,manyara wamesema...
2 Reactions
4 Replies
379 Views
Niajee wakuu, Mazoezi ni muhimu sana. Shauri yenu!!! Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi. Achaneni na chips yai wazee pigeni...
15 Reactions
81 Replies
4K Views
HUDUMA YA MAGARI YA MWENDOKASI (BRT) IANZE MBAGALA KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wake, Mhe Lazaro Nyamoga imefanya ziara ya...
1 Reactions
6 Replies
736 Views
Hii imekaaje kwamba SGR inapakia abiria wa kutoka Dar kushukia Pugu halafu kuna watu wanaolalamika kukosa nauli za Dar kwenda Morogoro na Dodoma! Dar Kwenda Pugu si kuna ile treni ya Mwakyembe na...
10 Reactions
60 Replies
4K Views
Wakuu hili inanishangaza Sana kumekuwepo na ongezeko kubwa kwa wadada pisi kali kutoboa pua na masikio matobo mengi. Hata Kama mnapendeza ila mimi gorogo nitakuchakata tu na kukuacha manake...
9 Reactions
153 Replies
12K Views
Hii kero ya kupigiwa kelele na makanisa yawakeshaji inatunyima usingizi. 'Sirikali' mliangalie hili jambo. Tumechokaaa
10 Reactions
60 Replies
2K Views
Dar Es Salaam– Tangu DP World ilipoanzishwa kubadilisha uendeshaji wa bandari ya Dar Es Salaam, tunafurahi kutangaza kuboreshwa kwa ufanisi wa bandari. Jitihada za DP World kuboresha na kuongeza...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Salamu kwenu nyote. Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye uwezo wa kuiga na kupanga mambo mazuri sana, ikiwemo sera na kuweka mikakati ya uwanzishwaji wa mambo ya kimaendeleo. Hali kadhalika ni...
1 Reactions
5 Replies
516 Views
Wakuu Kwema! Usiku wa leo nimefadhaika Sana, nimesononeshwa mno, nimepatwa na uchungu usioelezeka mpaka usingizi ukakata nikaamka yapata saa saba na dakika ishirini na mbili Kwa saa ya ukutani...
15 Reactions
96 Replies
14K Views
Kila nikipita hapa soko la Karume huwa nashangaa sana jinsi kundi kubwa la wamachinga wanavyofanya biashara zao chini ya nyaya kubwa za umeme bila hofu yoyote, sehemu nyingi ambapo naona kuna...
1 Reactions
0 Replies
350 Views
Sisi Watumishi wa SGR ambao tupo chini ya Mkandarasi Mkuu wa mradi huo, Yapi Merkezi tunasikitishwa na kitendo cha Muajiri wetu kupunguza Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima. Uongozi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nashauri Kanisa Katoliki, wakiongozwa na Padri Kitima ambaye hujitanabaisha kutetea haki za aina mbali mbali, wajitokeze kutoa neno kuhusu jambo lililofanywa na waumini wao pamoja na mlinzi, tena...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Wameziba pote hadi mapitio ya asili yaliyounganisha watu wa pande zote kwa kuugawa mji katikati pasipo sababu za msingi bila kuwashirikisha wananchi husika. Imewaathiri hata wao kwenye mapato...
5 Reactions
11 Replies
936 Views
Habari za muda huu wakuu,nahitaji msaada wenu juu ya kampuni mpya ya uwekezaji inayojiita Foland 01, kampuni hii inamtaka mtu afungue akaunti na kuwekeza kiasi cha pesa kuanzia Tsh. 10,000 mpaka...
1 Reactions
35 Replies
1K Views
MADANGURO YALIYOBORESHWA; BIASHARA INAYOKUA KWA KASI Anaandika, Robert Heriel Wanasema mjini mipango, hesabu akilini jasho peleka shambani. Mjini kuna biashara nyingi Sana, biashara ya umalaya...
32 Reactions
44 Replies
14K Views
Ukaguzi wa magari (imported) Sasa unafanyika nchini tofauti na mwanzoni. Sasa Hawa ndugu zetu wameamua kucheza na beat ili kuvuna. Inspection tests (report) zinaandikwa"FAIL" ili ujiongeze...
16 Reactions
58 Replies
6K Views
Kwanza nianze kwa kusema kuwa ufreemason unaozungumzwa hapa si ule wa kwenye nguzo za umeme. Ni ule wa watu wenye fikra huru wanaokusanyika pamoja ili kuboresha maisha ya binadamu. Kwa nini...
15 Reactions
24 Replies
2K Views
Mnaona wana jamvi, Na team ya JamiiForum hebu angalieni hili swala la huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwapiga za uso baadhi ya Tanzania kwa kuwapiga na uhuni wa utaperi wa uwekezaji hali anaacha...
0 Reactions
5 Replies
476 Views
Huyu dogo sijui anafanya hvi kwa bahati mbaya au anafanya makusudi ili auchafue ukristo kwa maslahi ya waliomtuma. Bahati mbaya sana hata jina lake sijakishika vizuri, sijui imani yake. Lakini...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom