Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Nimekusanya mahitaji yangu na kwend sehemu ya malipo na kufanya malipo kwa njia ya TIGOPESA MASTERCARDS. Nikapokea msg ya kukatwa kwa malipo niliyofanya na nikawa najiandaa kuondoka na...
2 Reactions
8 Replies
582 Views
Je, huwa ni Protokali tu za Kawaida za Kijeshi ( Polisi na Magereza ) au ni Mtindo Wao tu?
2 Reactions
7 Replies
420 Views
TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA Nilisikika nikiunguruma katika...
0 Reactions
175 Replies
9K Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha...
1 Reactions
1 Replies
884 Views
QnA btn Sheep and Pastor. Sheep : Who is God? Pastor : Jesus Sheep : Is Jesus the son of Mary? Postor : Yes Sheep : Who created Mary? Paster : God. Sheep : Who is God? Postor: Jesus Sheep ...
-1 Reactions
14 Replies
627 Views
Kuwahamisha wananchi wa jamii ya Kimasai katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni suala lenye uzito wake kwa taifa linaloweka maslahi mapana ya utunzaji wa mazingira. Baadhi ya sababu ni kama...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Hii sio taarifa ya tukio bali ni tathmini ya utendaji wa jeshi letu la Polisi katika kukiuka haki za wananchi wa Tanzania, binadamu walioapa kuwalinda. Hivi karibuni huko Kibaha kumetokea tukio...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwanza nitoe pongezi kwa chombo cha habari cha Wasafi media kipindi kinachoendeshwa na Zembwela, Maulid kitenge (mshambuliaji) na Gerald Hando, kwa kweli kila nikifungulia redio kwenye hiki...
1 Reactions
5 Replies
850 Views
Jeshi la Polisi ningependa kutoa taarifa ya uchunguzi wa tukio ambalo lilisambazwa katika mitandao ya kijamii kupitia picha mjongeo (video clip) kuanzia Agosti 2, 2024 ikimwonyesha binti mmoja...
16 Reactions
168 Replies
9K Views
Nina bicon ambayo niliipata katika mlima.Ikiwa katika mdomo wa chupa ya wine na kugundishwa kwa cementi Kali. Mwonekano wake Ni shaba Imechongwa Ia ngazi Nini nimefanya -nimejaribu kupata watu...
0 Reactions
10 Replies
812 Views
Kampuni ya KEDA (T) Ceramics Co. Ltd imefanya uzinduzi wa awali wa kuwasha mitambo ya kiwanda hicho kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, leo Agosti 19, 2024. Uzinduzi huo umefanywa na baadhi ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Toka saa 12 asubuhi,tigopesa haifanyi kazi,huduma kwa wateja kuongea na mhudumu simu inakatwa. Ni kama wamegoma leo tusifanye harajati zetu za malipo maana wao ndio wanaamua namna ya kufanya kazi.
4 Reactions
32 Replies
2K Views
kwa mfano, Mtandao wa Tigo unasumbua hata kutuma pesa zinakwama, wao hawajatoa taarifa kwa wateja kuwajuza kuna tatizo, wana act kama kila kitu kiko sawa, kinachotokea ni watu wanazidi kufanya...
1 Reactions
7 Replies
461 Views
KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba. UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo. Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine. Wapenzi hawapo...
4 Reactions
14 Replies
954 Views
Habari wana JF, Nawapongeza wazazi, walezi, walimu na jamii kwa ujumla kwa jukumu kubwa la ulezi hakika kazi yenu ni kubwa. Tukumbushane sasa: Baadhi ya wazazi na walezi mmepata watoto ambao...
2 Reactions
4 Replies
520 Views
Kwa takriban mwezi sasa Polisi bado wanahangaika na uchunguzi wa tukio la Binti aliyeonekana katika Video akifanyiwa vitendo vya Ukatili na Wanaume Watano na bado kumekuwa na kauli za kutia shaka...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Jana ilizuka taarifa za Masai wa Ngorongoro kuandamana kudai haki zao za kibinadamu kama haki ya kupiga kura, kupata huduma za kijamii kama shule, hospitals n.k. Ardhi ya Masai Ngorongoro...
4 Reactions
8 Replies
591 Views
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imebariki hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa washitakiwa watatu, Ibrahim Abubakar, Salima Abubakar, na Hadija Shio, ambao walikutwa na hatia ya kumuua kikatili...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Africa is a spiritual continent! Kuna mambo yanayotokea ila watu wanayachukulia poa, moja wapo ni matukio ya ajabu yanayowakuta wasanii na au watu maarufu. Kwa jamii,.inaweza kuyachukulia poa...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Hizi kauli za kumuangalia mtu na kusema hata muonekano wake tu unaonyesha yule ni kahaba, mdangaji, mwizi shoga, muuaji, ana roho mbaya n.k ni kauli za hovyo sana. Yani mtu anaweza kumuangalia tu...
13 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…