Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

AMRI YA NNE: Ikumbuke siku ya Sabato uitakase, Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako Tusiingie sana kwenye hizi dini na sheria zao bali...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimeona hii interview ya huyu muhitimu inatrend mitandaoni imeniumiza sana kwa kweli Hujafa hujaumbika! Kijana Noel Swai, mkazi wa Bunju A jijini Dar es Salaam amekuwa mtu wa kutoa machozi...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Habarini WanaJF Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana. Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
Familia ya Kamishna Msaidizi wa Polisi (SSP), Fatuma Kigondo imesema inafikiria kufungua mashtaka dhidi ya wote waliosambaza kwenye mitandao ya kijamii kuwa ndugu yao amehusika kutuma vijana...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Mahakama ya Wilaya ya Njombe imemhukumu Juma Msemwa (27) na Mkazi wa Njombe, kutumikia kifungo cha miaka 180 jela kwa Makosa 6 ya ulawiti na ubakaji, ambapo kila kosa anatakiwa kwa miaka 30...
10 Reactions
83 Replies
9K Views
Wasomi wengi sana tunakosa Fursa au Mawasiliano ya maana kwakuwa wengi Wetu hatuna muda wa hata tu Kuangalia / Kuchungulia kuna nini katika Emails zetu ( Inbox ), likiwa ni Suala muhimu sana...
6 Reactions
18 Replies
855 Views
Ni kawaida siku hizi kuona askari wa usalama barabarani wakiwa na magari yao wemeyaweka vichakani wakisimamia sheria za barabarani au wakifanya kazi ya kukamatakamata. Magari haya unaweza...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari za jioni Ni adhabu gani hupewa mtu aliye overstay kwenye nchi za mambele?
3 Reactions
10 Replies
431 Views
Anonymous
Samahani hiyo ndio hali halisi ya vyoo vya hospitali ya kituo cha Afya cha Mapera Kata ya Mapera, Wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma na watu huwa wanatumia
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Nipige calls kwa kutumia internet halafu data charges ziwe upande mmoja? Kama haipo can it be useful pale ambapo service provider anaruhusu uchati na mwingine huku data costs zote akichajiwa mmoja?
0 Reactions
9 Replies
612 Views
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena L. Tax amesema Migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya Jeshi inapaswa kutatuliwa kwa mashauriano kwa kufuata Sheria zilizopo na si...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo. Mh. Dkt...
0 Reactions
1 Replies
375 Views
Sisi wakazi wa Mbezi Luis, Njia panda Makabe mpaka kwa Robert tunakaribia wiki sasa hatuna maji na hakuna taarifa rasmi yoyote toka kwa mamlaka husika. Tumekuwa tukinunua maji kwenye magari na...
0 Reactions
2 Replies
712 Views
#UCHUMI: Kwa mujibu wa chapisho la #YahooFinance kutoka katika Ripoti ya 'Economics in The Year 2100', ya Mtando wa #FathomConsulting, Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi 4 kutoka #Afrika...
3 Reactions
6 Replies
979 Views
Habarini! Hongereni kwa michango yenu kabambe inayoendelea humu ingawa mingi yenu, haswa siku hizi, imeathirika mno kwa itikadi za kisiasa na dini. Nimeona hii iwe mada yangu ya kwanza kabisa...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Wakuu Salam! Poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi ni kijana niliyeajiriwa katika shule X (private school) iliyopo mkoa wa Kagera. Kutokana na...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za majukumu? Naomba kujua utaratibu wa kuadopt mtoto kwa hapa Tanzania
1 Reactions
3 Replies
383 Views
Na MWANDISHI WETU, Zanzibar. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha Mshomba, amesema Maonesho ya Tamasha la Kizimkazi 2024 kwa upande wa NSSF ni fursa kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
'Application' and 'Device Update' ni kuruhusu toleo jipya la mfumo wa uendeshaji wa kifaa chako kuweza kuendesha programu au 'drivers'. 1. Kuongeza Ulinzi Wadukuzi hutafuta njia mpya za kudukua...
2 Reactions
1 Replies
607 Views
Nilipata ajali ya gari Morocco bodaboda walikimbia kuja waliivamia wakaniibia kila kitu, pamoja jeki, tairi la gari, hela na kila kitu. Juzi tu kuna mtu amepata ajali akagongwa na alikuwa na...
14 Reactions
71 Replies
4K Views
Back
Top Bottom