Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Afisa Mwandamizi wa Benki ya NMB Tawi la Clock Tower idara ya Mikopo Jijini Arusha,George Kifaruka{43} mkazi wa Kijenge kata ya Kimandolu Jijini Arusha amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka...
7 Reactions
135 Replies
13K Views
Pepo (Jannah) ni sehemu ya maisha ya akhera katika imani ya Kiislamu, inayotambuliwa kama malipo ya mwisho kwa wale waliotenda mema na kumcha Mwenyezi Mungu katika maisha yao ya dunia. Nani...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Takwenyaaaa!!!!? Ndugu zangu napenda sana kupiga mazoezi malaini asubuhi sio kwa ajili ya kupunguza mwili au kukata tumbo hapana,ni kwa ajili tu ya kuwa fit asubuhi kabla ya kwenda kusaka doo na...
4 Reactions
141 Replies
40K Views
Mungu alipomaliza kuiumba dunia na kisha kumuumba mwanadamu ambaye alipewa milki yote ya duniani ili aitunze na kuitawala aligawa majukumu kabla hatujauona uso wa Dunia. Sisi wanadamu...
7 Reactions
6 Replies
580 Views
Mchungaji Anthony Lusekelo maarufu kama ‘mzee wa upako’ amefunguka kuhusu tuhuma za yeye kunywa pombe, na kuweka wazi kuwa hanywi pombe bali anakunywa ‘wine’ isiyo na kilevi, huku akisema kuwa...
4 Reactions
181 Replies
42K Views
Nipongeze awamu zote zilizojikita kwenye wazo na hatimaye kumamilika kwa train ya mwendo kasi ya SGR. Kiukweli ni mapinduzi hasa kwenye nyanja ya usafiri katika maeneo yanayopitiwa na kufukiwa na...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimeangalia clip ya huyu Simba aliyepewa jina la Tundu Lissu anavyoahangaika kwenye "cage" nikasitika sana, maelezo yametolewa kwamba akiona binadamu ndio huwa anahangaika hivyo! Hiyo ni stress...
8 Reactions
10 Replies
740 Views
Nawasalumia As-salamu Alaykum, tumsifu Yesu kristu. Habari zenu kwa lugha ya Nyumbani. Dunia inatuajibisha tunajikuta tunakuwepo mahali ambapo hatupendi kuwa,tupo si kwamaamuzi yetu. Leo...
2 Reactions
2 Replies
413 Views
Leo asubuhi katika makazi yangu mapya Dar es Salaam walikuja wadada wawili kudai kilichoitwa hela ya taka na mazungumzo yetu yalikua kama ifuatavyo; Wadada: Kaka mambo Mimi: poa Mdada 1: Kaka hela...
1 Reactions
3 Replies
479 Views
Wakuu salam, Kila ikifika kipindi cha mvua ndio serikali huwa inashtuka kuanza kukarabati mitaro na njia na hapo ni baada ya kuwa mvua iliyoshinda siku mmoja imefanya mitaro ifurike na baadhi ya...
0 Reactions
2 Replies
399 Views
Wakuu kila nikiangalia runinga naskia kizimkazi kumenoga ni nini hicho ?
2 Reactions
1 Replies
444 Views
Wakuu nilikua nauliza je kuna sehemu apa dar wanakodisha pikipiki kwa watu binafsi kwa shughuri mbali mbali kama ndio naomba mnijuze ilo chimbo kwa maana nimepata mchongo mmoja nataka niwe...
0 Reactions
2 Replies
641 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizo ni picha halisi hakuna iliyotengenezwa Niwatakie Usiku mwema
0 Reactions
1 Replies
489 Views
Kuna makundi hayatumiki sawa sawa katika nchi yetu* Nimekuwa najitafakalisha juu ya makundi na taasisi za serikali kadhaa kama kweli zinashiriki kikamilifu kuijenga nchi nikagundua kuna sehemu...
0 Reactions
1 Replies
332 Views
Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa...
3 Reactions
7 Replies
937 Views
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wazazi na walezi kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Wakuu salam, Kesi ya watuhumiwa wa kesi ya Yombo imeanza kuunguruma Jumatattu baada ya watuhumiwa hao kufikishwa mahakamani. Kimtaani mtaani tunajua kilichowapeleka pale ni kumlawiti na kumbaka...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
tunataka ufafanuzi wa Rais ni nani huyo mwenye hadhi ya mbwa?
3 Reactions
13 Replies
667 Views
Jeshi la Polisi limesema limeshafanya Uchunguz wa kina dhidi ya Afisa wa Polisi anayetajwa kwa jina la 'Fatma Kigondo' ikiwa ni pamoja na kupata maelezo ya watu mbalimbali Kwa mujibu wa taarifa...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini Kanda ya Ziwa, Elias Anania (20) kwa tuhuma za kuhamasisha vurugu kupitia kundi sogozi la WhatsApp...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom