Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais wa Rwanda, #PaulKagame amesema ongezeko la Makanisa ambayo mengi kati yake yamekuwa yakichukua Fedha za Waumini na kuwatajirisha Viongozi wa Madhehebu utailazimu Serikali kuanzisha Kodi ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu wanapotea miaka Sasa hawajulikani walipo 1. Epuka ukosoaji wa viongozi wa juu, hao hawataki kukoselewa, wapo pale kutawala, hawataki ukosoaji na ujuaji utapotezwa Mbele ya watu watajifanya...
17 Reactions
39 Replies
2K Views
Sekretarieti ya Ajira imebuni mfumo wa Kidijitali ambao utawawezesha watahiniwa kufanya usaili wa kazi huko huko Mikoani Kupitia vituo walivyovichagua ambavyo vitakiwa na Kila kitu Cha kumuwezesha...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Watanzania wengi hawana utanashati. Wengi wao wanavaa nguo bila kunyoosha pasi. Nguo inatolewa kwenye kamba inavaliwa ivo ivo unakuta mtu anavaa nguo imejikunja mpaka unajiuliza huyu nyumbani...
6 Reactions
25 Replies
954 Views
Mimi nafanya kazi wizara x kama head of department ya kitengo fulani kwahiyo kutokana na achievement yangu ambayo nimeipata kama hapa karibuni kuna wizarani ambayo inasisifiwa sana basi ujue ni...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu Gari ni Nissan...
19 Reactions
155 Replies
7K Views
- Nunua kwenye tovuti zinazojulikana na kuwa mwangalifu wa herufi za kiunganishi cha tovuti hiyo. Mfano; Amazon.com inaweza kuwa Arnazon.com - Hakikisha tovuti ina alama ya kufuli kwenye sehemu...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Wakuu, Kwenye video hii kuna kijana anakiri yeye na wenzake kushirikiana kuiba watoto, ambapo kwa kila mtoto wanayeiba hupewa Tsh. 5,000. Watoto hao huuliwa na kisha miili yao kupelekwa Dar...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Juzi niliingia hotelini nikiwa na njaa kweli na baada ya kupitia menyu, niliagiza chakula. Baada ya kama dakika 20 kundi la vijana wa kike na wa kiume waliingia na kuagiza chakula pia. Kwa...
92 Reactions
117 Replies
9K Views
Wakuu, Kumekuwa na shida ya mtandao karibu wiki sasa, saa nyingine ikifika usiku mtandao unakuwa chini sana na wakati mwingine hata siku nzima, unakuta mtandao unasumbua kweli na hii ni kwa...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Aisee Mungu huyu nitamshukuru kila wakati. Nakumbuka kuna kipindi maisha yalikua magumu hata mno magumu mpaka basi hata pesa ya kula ilikua mtihani kila kitu kilivurugika Mwanaume usiombe...
95 Reactions
79 Replies
8K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa hapo chini: Mtoa hotuba wa Ijumaa ya leo msikiti Sunni Dodoma (Nunge) Imamu sheikh Mbwana Haji amesema muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na...
3 Reactions
6 Replies
421 Views
Habari wakuu, Ninaimani sote tuko wazima wa afya, kama una changamoto ya kiafya nakuombea Mungu akufanyie wepesi upone. Baada ya hiyo salama naomba niende moja kwa moja kwenye mada kama...
16 Reactions
85 Replies
7K Views
Nimekuwa nikishangazwa sana na jambo hili kwamba kampuni kubwa nchini kwa masuala ya media ndio kwanza wafanyakazi wake mahiri wanatimka kila kukicha kwenda kufanya kazi kwenye taasisi zingine...
8 Reactions
96 Replies
12K Views
Nilikuwa naperuzi kwenye mitandao maarufu nchini nikakutana na hii habari inayomuelezea huyu Mtoto pichani ambaye ana miaka 3 anaitwa Nice, ana uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari kwa uwezo wa...
14 Reactions
513 Replies
87K Views
Wajomba mambo vipi, aisee mimi sio mwandishi mzuri sana ila leo naomba niwapitishe kidogo kwenye hii "BITTER TRUTH" . ndio, ni ukweli mchungu especially kwetu sisi Scholars (wenyewe tunajiita...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili neno liheshimiwe kabisa kuwa tanzania ni nchi ya drama kama wafanyavyo serikali ya ccm.Hivi unawezaje kuchezea mahakama kwa kupata mihuri alafu na wakuu wa wilaya na mkoa kuweka sahii zao...
2 Reactions
1 Replies
329 Views
Askari wa usalama wa barabarani 168 wamechukuliwa hatua zikiwamo kushtakiwa kijeshi, kuhamishwa vitengo na kufukuzwa kazi, kutokana na makosa ya kinidhamu ikiwemo rushwa katika kipindi cha kuanzia...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
JamiiForums kwa kushirikiana na CIPESA kupitia Mfuko wa Haki za Kidijitali wa Afrika (The Africa Digital Rights Fund - ADRF) wameendesha mafunzo ya Uhakiki wa Taarifa kwa Wadau wa Tasnia ya...
1 Reactions
2 Replies
597 Views
Back
Top Bottom