Habar wanajf.
Kutokana na matukio yanaoendelea katika nchi yetu hasa Kanda ya Ziwa, na kati imefanya niandike huu Uzi, kwamba Hawa watu sasa imekuwa shida.
Kwani wanachangia uvunjifu wa amana...
1. Biashara zimeandamwa na makodi ya mamlaka na fremu ilihali uwezo wa ununuaji umepungua
2. Kilimo kinaathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi na bei kuyumba
3. Mazao ya mifugo hutoa mbolea...
Kampuni za Simu za Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, nikama kuna tatizo kidogo kwenye bongo zenu kuhusiana na Starlink
Waafrika siku zote ni kama tuna laana linapokuja swala la...
Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli.
Leo nitaitoa ishara moja tu.
1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri.
Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa...
Matajiri 435 wa Tanzania wajiunga katika orodha ya mamilionea duniani
Takriban watanzania 435 wamekuwa mamilionea wa dola mwaka uliopita kulingana na ripoti ya utajiri ya Knight Frank...
Kuna uzi niliuandika namna gani kijana anayemaliza chuo anapaswa afanye ili aweze kuishi vizuri mtaani, nashukuru wanajukwaa kwa mwitikio wenu mzuri ila kuna baadhi ya wanajukwaa wansema...
Kuna kauli huwa inatolewa ya Mwisho mwema hasa pale inapoonekana Mtu tajiri au hawa ma celebrities/watu maarufu wanavyofurahia maisha , kwenye comments za watu utakuta tujaliwe mwisho mwema .
Je...
Mara nyingi kujiingiza kwenye uchawi sio mwanzo wa kusaka utajiri..safari kwa waganga huanza pale mafanikio yanapoanza pale ambapo wasiwasi na pressure zinawakumba wanaona kama wanatapeliwa na...
Wakuu, naomba kuelimishwa katika hili la majina! Natamani kufahamu yafuatayo:
1. Mtoto anaweza kutumia jina la mama yake kwenye utambulisho wa majina yake? Mfano, kama mtoto anaitwa Bakari na...
IFIKE MAHALA WANAKWAYA NA WATOA HUDUMA KANISANI WALIPWE MISHAHARA KWA MWEZI!
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Hii ni mara ya tatu nazungumzia Jambo hili. Mara ya Kwanza...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa malalamiko kuwa kuna changamoto ya maji ndani ya Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kwa siku mbili Agosti 28 na 29, 2024, ufafanuzi...
Kuna tukio nimeliona la Mmoja wa Mlinzi wa Kike wa Mheshimiwa Rais Samia kutoka PSU akimvuta mmoja wa Watu waliokuwa mbele yake na akiwa karibu kabisa na Rais kisha kumrudisha nyuma na Yeye ( huyo...
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita (watatu kutoka kushoto), akipokea vifaa tiba kutoka kwa Stanley Kafu, Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim ukiwa ni mchango wa benki hiyo...
Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa (International Energy Companies - IEC’s) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa...
Wakuu pmj na kuwasili mji huu leo mchna ,naomba kama Kuna member Yuko huku Kiteto kibaya naomba anipm tafadhali nina Kazi ya kufanya siku mbili hivyo nahitaji msaada.
Kwa miaka mingi, binadamu tumekuwa wakitegemea kupata samaki kupitia bahari, maziwa, na mito, bila kuzingatia ya kwamba vyanzo hivi vina kikomo na itafika kipindi vitashindwa kutoa samaki wa...
Nitangulize shukrani kwa JamiiForums kwani mara tu bada ya taarifa ya kukosekana kwa maji kuripotiwa mamlaka zimeweza kurejesha huduma ya maji katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani...